Waziri wa Vijana na Michezo Ashraf Sobhy ofisini mwake kwenye Diwani ya wizara hiyo, Balozi Ali Kedah alikutana na , balozi wa Misri nchini Sudan Kusini kujadili mambo ya ushirikiano kati ya Misri na Sudan Kusini katika nyanja za vijana na michezo.
Waziri huyo alipendekeza uwezekano wa ushirikiano katika
maendeleo ya vituo vya vijana na michezo na kubadilishana uzoefu na matembezi
ya vijana kati ya nchi hizo mbili, pamoja na vitu vyote vya ushirikiano katika
kumbukumbu ya pamoja ya uelewa, akielezea dhamira ya wizara hiyo ya kuimarisha
uhusiano wa nchi mbili na nchi mbali mbali za kindugu.
Kwa upande wake, Balozi wa Misri nchini Sudan Kusini
alielezea matakwa yake ya kuimarisha ushirikiano kati ya Wizara ya Vijana na
Michezo ya kimisri na Wizara ya Vijana, Michezo na Utamaduni huko Sudan Kusini
ndani ya mfumo wa kukuza uhusiano na kusaidia matarajio ya ushirikiano na Sudan
Kusini katika nyanja mbali mbali.
Comments