"Timu ya sarakasi" inaelekea Italia kushiriki katika Mashindano ya Bahari ya kati kwa vijana

 Ujumbe wa timu ya kitaifa kwa vijana wa sarakasi uliondoka uwanja wa ndege wa Kairo kueleka Italia ili kushiriki Mashindano ya Bahari ya kati yaliyopangwa kufanyika Katika kipindi cha 24 hadi 29 Septemba hii.

 

Ujumbe huo una matawi manne ya sarakasi ,sarakasi ya kiufundi kwa wanaume na inajumuisha mchezaji Abdul Rahman Abdel Halim , Mohamed Naji, na Mohammed Mukhtar ,na sarakasi ya ngoma na inajumuisha Alia Hazem, Maryam Tamer,na Malk Abdul Aziz ,na sarakasi ya ufundi kwa wasichana na inajumuisha Janna Hani, Janna Adel, Salma Meligi ,na tawi la sarakasi ya Aerobics ilijumuisha Bassel Sameh, na Hana Ashraf na Noura El Hennawi.

 

 Na kocha ni :Mohammed Othman, Ahmed Abdel Rahim, Mahmoud Sayed, Salma Al-Saeed, Lamia Hossam, Manar Mohsen, Mahmoud Ayman na Mohamed Okasha.

 

 Na Refarii ni: Yasmin Samir, Rodina Diab, Nervine Hisham , Heba El Borini, Arafat Ahmed, Abdullah Radwan, Aya Saad na Rawan Tariq.

Na Mkuu wa ujumbe wa Misri nchini Italia ni Dokta Alaa Hamed.

Comments