Wizara ya vijana na michezo inazindua kampeni ya uhamasishaji kwa kombe la dunia la mpira wa mikono 2021

 Wizara ya vijana na michezo inatekeleza kampeni ya uhamasishaji kwa kombe la dunia la mpira wa mikono 2021 mjini Hurghada, inayozingatia matangazo kwa Utalii wa kimichezo pamoja na ukaribu wa kufanyika kwa tukio la dunia.

 

Matukio ya kampeni ya uhamasishaji yanaanza kwa ziara ya (Mega Ride), ziara hiyo inaanzia mji wa Cairo, siku ya Ijumaa 27,mwezi wa Septemba kwa ushiriki pikipiki 200 hata kufikia mji wa Hurghada kupitia njia mpya na ambazo zimeshuhudia maendeleo makubwa ili kuunga mikoa yote ya kimisri.

 

Kampeni inayotekelezwa kwa idara kuu katika wizara ya vijana na michezo inayowakilishwa kwa idara kuu ya utalii ya kimichezo, ambapo pikipiki 200 zinapita katika barabara za mji wa Hurghada kwa bendera za mataifa yanayoshiriki katika michuano hiyo, pikipiki hizo zinasimamia katika vituo ili kupiga picha za kumbukumbu pamoja na watalii ili kuwahamasisha kwa ushiriki katika matukio hayo ya utalii ya kimichezo nchini Misri na kufurahia fomu ya kistaarabu na kitalii ya mji wa Hurghada na inayozingatia picha kweli ya ushiriki wa vijana katika matukio hayo ili kusisitizia hali ya utulivu na usalama nchini Misri, pia tangazo la wizara ya vijana na michezo ya ukaribu wa ufunguzi wa  kituo cha kimataifa cha maendeleo ya kimichezo na jiji la vijana mjini Hurghada na inayozingatia mojawapo ya vituo muhimu vya vijana na kimichezo mkoani Bahari Nyekundu.

Comments