Angelo Weliam Ji: kutokana mwanafunzi wa shule ya kiafrika 2063 kuelekea kujitolea katika Kameshina ya Umoja wa kiafrika
- 2019-09-28 18:09:40
Angelo Weliam alikuja Misri kutoka Sudan Kusini mnamo mwaka wa 2011 ili kupata cheti cha shahada ya kwanza ambapo alihitimu masomo kutoka kitivo cha Sheria , chuo kikuu cha Kairo sehemu ya El Khartum mwaka wa 2015.
alipata cheti cha masomo ya juu katika Kanuni khasa kutoka chuo kikuu cha Ain Shams mwaka wa 2017 , naye sasa hivi yupo anasajiliwa kama Mtafiti katika kitivo cha Sheria , chuo kikuu cha Ain Shams ili kupata cheti cha Uzamili ( kitengo cha mahusiano ya kimataifa).
Angelo ni mfano mzuri sana kwa vijana waafrika hodari wanaofanya kwa bidii kwa ajili ya kujiendeleza nafsi yake na kuhudumu jamii yake, na kwa sababu hiyo Ofisi ya vijana waafrika ilimchagua ili awe katika kikundi cha kwanza kutokana na shule ya kiafrika 2063 mwezi wa Desemba 2018, iliyosifwa naye akisema; kushiriki katika shule ya kiafrika ni muhimu zaidi kutoka mashirikiano yangu yote, kwani iliwapa vijana nafasi ya kujihusisha na watu wenye ujuzi mkubwa wa kisayansi , pamoja na programu ilijumuisha washiriki wenye mitazamo tofauti , jambo linaloifanyika programu ya kubadilishana ujuzi .
jambo linalopambana shule ya kiafrika ni ushiriki wa vijana wenye utashi na wahusika wakubwa ambao vijana walijifunza mengi ya ujuzi na maarifa ya kazi toka kwao .
na nukta muhimu katika tathmini yangu kwa programu hii ni falsafa au mwenendo wa programu unaosisitiza kuimarisha ushikamano kati ya vijana waafrika na kumalizika shule ya kiafrika kwa mipango ya vijana kwa kutekleza , jambo lililoakisi wazo la uongozi wa kijamii na kuboresha jamii.
Basi kwamba kusisitiza Rasilimali za vijana katika kuhakikisha maendeleo na kuboresha jamii ni jambo muhimu sana na bara letu linalihitaji.
Leo Angelo anajitolea katika Barza la Amani na Usalama linalohusiana na Umoja wa kiafrika - Kundi la kuunga mkono operesheni za Amani- sehemu ya kuborehsa siasa.
Jukumu moja muhimu zaidi ni kutoa msaada kamili kwa maendeleo ya sera, misingi na viwango vya mafunzo katika kufuata sheria ya kimataifa kwa haki za binadamu na kanuni ya binadamu ya kimataifa , pamoja na mwenendo na nidhamu ya shughuli za uungaji mkono wa Amani.
Comments