Ujumbe wa waafrika wa idhaa huzuru sekta ya vyombo vya habari katika wizara ya Mambo ya ndani
- 2019-09-29 20:24:34
Wizara ya mambo ya ndani , inayowakilishwa na
sekta ya vyombo vya habari na mahusiano, na kituo cha polisi , ilipokea ujumbe
w waafrika wa idhaa wanaochukua kikao cha mafunzo kinachopangwa na baraza kuu
la kupanda vyombo vya habari.
Ambapo waafrika
hawa wanaotoka nchi za kiafrika 13 , walitembelea idara mbalimbali
katika sekta ya vyombo vya habari na mahusiano , na kusikiliza maelezo mazuri
kuhusu majukumu yanafanywa na sekta hii , na yanayolenga kwa kwanza kutoa vifaa
vyote vya ndani au nje vya vyombo vya habari mahitaji yoyote ya habari
au taarifa juu ya hali ya usalama huko nchi katika mfuko wa sera ya wizara kwa
kushughulikiana na vifaa vya vyombo vya habari kwa njia sahihi na kuandikwa
kuhusu matukio muhimu ya kiusalama , na
kujumulisha maoni ya kuu kwa ufahamu wa juhudi za wizara katika nyanja za
kupambana na ugaidi na uhalifu wa kijinai .
Vilevile ujumbe wa wageni hutazama teknolojia
inayotumika katika nyanja za kupiga picha na Montaji na utoaji wa vipindi vya
habari na taarifa za kiusalama , pamoja na studio za sasa za kupiga video na kurekodi sauti
zinazoboreshwa na sekta ya vyombo vya habari na mahusiano , kusambamba na
maendeleo yanayofanyika kwa barua ya habari na kuzama juhudi zinazofanyiwa na
vyombo kadhaa vya usalama .
Kupitia ziara yao chuoni , ujumbe ulifahamishwa
njia za sasa za kufunza zinazoletwa na
kituo cha tafiti za wapolisi kwa waafrika
wanaozoea , katika nyanja mbalimbali za kazi ya kiusalama kwa lugha
mbili ( kiingereza na kifaransa ) , pia walizuru maktaba ya kituo hicho
inayojumuisha masomo mengi ya kiusalama yanayohusu namna ya kupata faida kutoka
kwa vifaa vya habari ili kupambana na matukio ya uhalifu na akili ya wanao na
itikadi mkali
.
Vilevile ujumbe huo ulifanya ziara inajumuisha
idara ya majengo ya mafunzo kwa kutumia programu na njia za sasa zinazotumika
na kituo cha polisi katika nyanja za mafunzo ya kisayansi ya kupambana na
uhalifu na njia za kuhifadhi usalama .
Comments