Progaramu ya mafunzo kwa Kituo cha uangalizi cha Al_Azhar inajadili mbinu ya hatua ya taasisi katika kupambana Msimamo mkali mnamo siku zake za kwanza

 Matukio ya programu ya mafunzo ya kwanza  yanayopangwa kwa Kituo cha uangalizi cha Al_Azharili kupambana Msimamo Mkali kwa wanafanuzi na wahitimu wa chuo kikuu cha Al_Azhar katika mnamo kipindi cha 29 mewzi wa Septemba mpaka 3 mwezi wa Oktoba ujao ,chini ya kichwa ( Uwiano wa Halisia ya Msimamo Mkali na hatari zake ) yalizindua asubuhi siku ya jumampili .

 

 mnamo siku zake za kwanza kupitia Mhadhara wa Dokta Hamada Shaban na Dokta Ehab Shwaki "wasimamizi wa Kituo cha uangalizi cha Al_Azhar ' programu ilijadili  ,jukumu linalofanyika kwa uchunguzi katika kufuata hali za waislamu ulimwenguni ,akiongozea ujumbe wake na mbinu ya hatua katika kupambana mawazo makali.

 

Watafiti waKituo cha uangalizi cha Al_Azhar kupitia warsha za pamoja walifungua majidliano na washiriki katika progaramu ,walijibu masuali yaliyozungukia masuala mashahuri zaidi ambayo uchunguzi unayafanyika kupitia kipindi cha kisasa ,na jinsi ya  kuunda ufahamu wa vijana kuelekea masuala yale.





Comments