Wizara ya vijana na michezo kwa kushirikiana na umoja wa kiarabu wa kujitolea huandaa mkutano wa kiarabu na kiafrika kwa vijana wajitolea na wajasiriamali.

Wizara ya vijana na michezo kwa kushirikiana na umoja wa kiarabu wa kujitolea huandaa mkutano wa kiarabu na kiafrika  kwa vijana wajitolea na wajasiriamali katika kipindi cha 19 hadi 26 Aprili , 2019 mjini kairo.

wajumbe wa kiarabu na kiafrika   kutoka nchi 30  watashiriki katika mkutano nazo ni;

 ( saraleon , zambia , afrika ya kati , somalia , mauritania , emart , yemen , saudi arabia , lebanon , libya , algeria , oman , palestina , comoros , jordan , iraq , sudan , malawi , uganda , Djibouti , burundi , nigeria , gabon , ghana , tanzania  ,madagascar ).

Mkutano  una lengo la kubadilishana uzoefu katika nyanja ya kujitolea na ujasirimali kati ya vijana wa kiarabu na kiafrika , kupatikana  jukwaa la kiarabu na kiafrika ili kuanzisha mipango mipya ya hiari na kuimarisha uhusiano wa urafiki kati ya vijana wa kiarabu na kiafrika.

Shughuli za mkutano zinajumuisha kuonesha uzoefu wa nchi katika kujitolea na warsha  kuhusu  vijana , na kujitolea katika kukuza  wastani , kiasi na ushirikiano , vijana na kutumia kujitolea ili kuhudumia  utalii wa kitaifa na jinsi ya kuwekeza kujitolea katika maendeleo ya jamii na ubunifu wa kujitolea wa vijana

Mkutano unajumuisha pia shughuli za hiari katika vituo vya vijana vijijini vinavyohitajika zaidi na kuandaa ziara katika maeneo ya kiutalii na  kihistoria huko kairo na Giza .

Comments