Misri kushinda medali ya shaba ya Sarakasi ya kiufundi katika michuano ya bahari ya Kati kwa vijana

 Timu ya kitaifa ya vijana wa Sarakasi imeshinda medali ya shaba ya michuano ya bahari ya Kati inayofanyika sasa nchini Italia mnamo kipindi cha tarehe 24 hadi 29, mwezi wa Septemba huu.

 

Pia timu ya kitaifa ya wasichana imepatia nafasi ya nne ya mashindano ya Sarakasi ya kiufundi.

 

Ujumbe wa Kimisri unajumuisha nyanja nne za Sarakasi , ambazo ni Sarakasi ya kiufundi ya wanaume inayojumuisha Abd Alrahman Abd Alhaleem, Mohamed Nagy na Mohamed Mokhtar na Sarakasi inayojumuisha Aliaa Hazem, Mariamu Tamer na Malak Abd Alaziz na Sarakasi ya kiufundi ya wanawake inayojumuisha Gana Hany, Gana Adel na Salma Miligy na Sarakasi ya aerobic inayojumuisha Basel Sameh, Hana Ashraf na Nora Alhenawy.

 

Makocha : Mohamed Osman, Ahmed Abd Alraheem, Mahmoud Sayed, Salma Alsaid, Lamiaa Hossam, Manar Mohsen, Mahmoud Ayman na Mohamed Okasha.

 

Refarii : Yasmin Samer, Rodaina Diab, Nerven Hisham, Heba Alboriny, Arafat Ahmed, Abdallah Radwan, Aya Saad na Rawan Tarek.

Ujumbe unaongozwa na Dokta Alaa Hamed.

Comments