Waziri wa michezo anajadili maandalizi ya kukaribisha Misri kwa duru ya kiarabu ya kwanza kwa michezo ya mpira na racketi
- 2019-10-01 21:30:40
Dokta Ashrf Sobhy waziri wa vijana na michezo na mwenyekiti wa ofisi ya utendaji wa baraza la mawaziri wa vijana na michezo wa waarabu alikaribisha jenerali Ahmed Naser - naibu wa mwenyekiti wa umoja wa kamati za olimpiki za kiarabu - na hivyo kwenye ofisi kuu ya wizara ili kujadili maandalizi ya kukaribisha Misri kwa duru ya kwanza ya kiarabu kwa michezo ya mpira Na rocketi inayoaandaliwa kukaribishwa mjini sharm Elshekhi mnamo katikati ya mwezi wa Machi ujao .
Mkutano
ulihudhuriwa na Masud Abn
Abdalazizi - katibu mkuu
wa umoja wa
kamati za olimpiki za kiarabu
- , Said Sufyani - katibu mkuu na
msaidizi wa umoja
wa kamati za
olimpiki za kiarabu
, Omr Husain - mwenyekiti
wa umoja wa
kiarabu kwa Mpira
wa mbio , pamoja
na baadhi ya
wakuu wa umoja
wa kiarabu kwa
michezo ya mpira na
rocketi.
Dokta
Ashrfa Sobhy alisisitiza kuwa
kuzindua duru ya kiarabu
kwa michezo ya mpira
na racketi ni
fikra nzuri ili
kutoa duru katika
michezo zifanane njia
zake zinazotumikwa katika
utendaji wake wa
duru moja . kwa
ajili , kuwa hali ya
kipekee kwa michezo
ya kiarabu ambayo
inajumuisha vijana wa
waarabu penye pahali moja
na katika shindano
la michezo safi
linalozidisha kiwangu chao
ili kuwa bora
zaidi .
Waziri
wa vijana na
michezo aliongeza kuwa wizara
ya vijana na
michezo haitahifadhiwa
juhudi katika kutoa njia zote za
uungaji mkono kwa duru
kwa ushirikiano na
umoja wa kamati
za olimpiki za
kiarabu kwa urais wa
Amiri " Talal Bn Badr
"
Comments