Mnamo siku yake ya tatu ... programu ya mafunzo kwa Kituo cha uangalizi cha Al_Azhar inajadili hatari ya itikadi kali na inayokua ya " Islamophobia "
- 2019-10-02 20:48:05
Kituo cha uangalizi cha Al_Azhar kiliendelea ya kupambana itikadi kali , shughuli za mpango wa mafunzo ya kwanza kwa wanafunzi na wahitimu wa chuo
kikuu cha Al- Azhar utafanyika kuanzia tarehe 29 Septemba hadi 3 Oktoba chini
ya kichwa : " Uwiano wa itikadi kali na hatari zake "
programu hii iliojadiliwa katika siku yake ya tatu kupitia
hotuba iliyotolewa na Dokta Mohamed Al-
Awaji msimamizi wa Al-Azhar na Dokta Hussein attieh mtafiti wa Kituo cha uangalizi cha Al_Azhar kuhusu hatari ya itikadi kali na jukumu lake katika kuchochea Chuki , pamoja na
Uhalisia wa" Islamophobia " na hudhihirisha njia zake na njia za
kupambana jambo hili ndani ya jamii za kigeni.
kama inavyojadiliwa Dokta Hazem Abu El enein mratibu wa
kitengo cha vyombo vya habari huko Kituo cha uangalizi cha Al_Azhar na Dokta Sameh Dharaqi mwanachama
wa kitengo cha habari kuhusu hatari ya vyombo vya habari inayotumiwa na
mashirika ya kigaidi kuvutia vijana na wahadhiri walitoa maagizo ya kusaidia
jamii isianguke mikononi mwa vikundi hivi vyenye msimamo mkali .
Comments