Waziri wa vijana na michezo na Elhossiny walitangaza maelezo ya mashindano kwa waanzilishi wa Silaha ya Elshish
- 2019-10-02 20:52:42
Dokta Ashraf sobhy waziri wa vijana na michezo na Abdelmenem Elhossiny Rais wa Muungano wa Silaha wa kimisri kwa Silaha ya Elshish kupitia mkutano wa waandishi wa habari unaohusu kuanzia mashindano ya dunia kwa waanzilishi wa silaha ya elshish walitangaza maelezo ya kufanyika kwa mashindano na hivyo ni katika makao makuu ya wizara ya vijana na michezo
Na mashindano ya waanzilishi wa silaha wa dunia yanafanyika
katika kipindi cha 5 hata 11
Katika mwezi wa Oktoba ujao chini ya usimamizi wa wizara ya
vijana na michezo na sebule yanayofunikwa kwa namba ya 2 katika uwanja wa Kairo
wa kimataifa yanayakaribisha mashindano kwa kushirikia kwa madola 45
Na Elhossiny katika mkutano wa waandishi wa habari
alitangaza alama ya mashindano yanayofanyika kwa mara ya kwanza barani Afrika ,
idadi ya wachezaji wanaoshiriki katika mashindano ya kimataifa na wakati wa kufikia ujumbe
Dokta Ashraf sobhy alisisitiza kwamba Muungano wa silaha
unashuhudia maendeleo makubwa kupitia kipindi kipitacho , maendeleo katika
kiwango cha ufundi cha wachezaji na katika kifaa cha kiutawala kwa bodi ya
wakurugenzi ya umoja
Na waziri wa vijana na michezo alifuatilia akisema kwamba
kukaribisha kwa matukio kama hayo ni Mfululizo unaoendelea unalenga kwa
kusisitiza juu ya nguvu ya shirika ya Misri
Na jinsi jamii ya michezo inajiamini Na kusaidia shirika la
matukio ya kidunia katika michezo mbali mbali
Rais wa Muungano wa Silaha alisema kwamba kukaribisha kwa
mashindano kunakuja miongoni mwa mipango
ya Muungano
Ili kupanua usambazaji na ufafanuzi wa mchezo ndani ya Misri
ambapo kukaribisha kwa matukio haya yanaakisi umaarufu wa mchezo na maendeleo
ya kiwango cha Wachezaji na wasimamizi kiadili na kitaalamu
Na Elhossiny alihitimisha kauli zake kwamba Misri ina uwezo wa kukaribisha na kupanga tukio lolote na kuna ndani yake vipaji vingi
vinavyoweza kutoa bora daima , akieleza kwamba Muungano utaendelea katika
kukaribisha mashindano mbalimbali ya kimataifa
, Katika ngazi zote za kitaifa Na
vikundi tofauti vya umri
Comments