Waziri wa vijana na michezo na Elhossiny walitangaza maelezo ya mashindano kwa waanzilishi wa Silaha ya Elshish

 Dokta Ashraf sobhy waziri wa vijana na michezo na Abdelmenem Elhossiny Rais wa Muungano wa Silaha wa kimisri kwa Silaha ya Elshish kupitia mkutano wa waandishi wa habari unaohusu kuanzia mashindano ya dunia kwa waanzilishi wa silaha ya elshish  walitangaza maelezo ya kufanyika kwa mashindano  na hivyo ni katika makao makuu ya wizara ya vijana na michezo

 

Na mashindano ya waanzilishi wa silaha wa dunia yanafanyika katika kipindi cha 5 hata 11

Katika mwezi wa Oktoba ujao chini ya usimamizi wa wizara ya vijana na michezo na sebule yanayofunikwa kwa namba ya 2 katika uwanja wa Kairo wa kimataifa yanayakaribisha mashindano kwa kushirikia kwa madola 45

 

Na Elhossiny katika mkutano wa waandishi wa habari alitangaza alama ya mashindano yanayofanyika kwa mara ya kwanza barani Afrika , idadi ya wachezaji wanaoshiriki katika mashindano ya kimataifa na  wakati wa kufikia ujumbe 

 

Dokta Ashraf sobhy alisisitiza kwamba Muungano wa silaha unashuhudia maendeleo makubwa kupitia kipindi kipitacho , maendeleo katika kiwango cha ufundi cha wachezaji na katika kifaa cha kiutawala kwa bodi ya wakurugenzi ya umoja

 

Na waziri wa vijana na michezo alifuatilia akisema kwamba kukaribisha kwa matukio kama hayo ni Mfululizo unaoendelea unalenga kwa kusisitiza juu ya nguvu ya shirika ya Misri

Na jinsi jamii ya michezo inajiamini Na kusaidia shirika la matukio ya kidunia katika michezo mbali mbali

 

Rais wa Muungano wa Silaha alisema kwamba kukaribisha kwa mashindano  kunakuja miongoni mwa mipango ya Muungano

Ili kupanua usambazaji na ufafanuzi wa mchezo ndani ya Misri ambapo kukaribisha kwa matukio haya yanaakisi umaarufu wa mchezo na maendeleo ya kiwango cha Wachezaji na wasimamizi kiadili na kitaalamu

 

Na Elhossiny alihitimisha kauli zake  kwamba Misri ina uwezo wa kukaribisha na kupanga  tukio lolote na kuna ndani yake vipaji vingi vinavyoweza kutoa bora daima , akieleza kwamba Muungano utaendelea katika kukaribisha mashindano mbalimbali ya kimataifa  , Katika ngazi zote za kitaifa  Na vikundi tofauti vya umri

Comments