Rais wa Kanowi na Kyaki : Subirini Ufikiaji zaidi kutoka wachezaji wa Misri kwa Tokyo 2020

 

Mshauri   Mohamed  El sokari  mwenyekiti  wa  shirikisho la  kanowi   na  El-kyaki   alisisitiza  kuwa   inapatikana wachezaji  wa  timu  ya  taifa  ya Misri  wanaweza  kufikia Olimpiki  wa  Tokyo  2020 .

 

Sokari  alisema  kuwa  mafanikio  ya  wawili   " samaa farouk  na  Ali  Hassan  katika  kuvuka  kwa  Tokyo  2020  yanajulikana  kama   habari  ya  kupendeza  kwa  wachezaji  wetu wengine   katika  timu  ya  taifa  .

 

 Aliongeza  kuwa  "Samaa  "  alifikia mashua  ya  moja  ya  wanawake  kwa  shindano  500 mita  wakati  ambapo   Ali  alifikia mashua  ya  moja  ya  wanaume  kwa  shindano  200 mita  .

 

Aliashiria  kuwa  wachezji   wa   timu  ya  taifa  wote   wanatekeleza  programu   ya  matarajio ili   Mafarao wa  Kanowi  na  Kyak   wawe   wachezaji  zaidi  huku  Tokyo  2020 .                                                                                                     na El Sokary aliongeza kwamba Umoja haulengi kufikia tu, bali unalenga kuwepo katika vyeo vya kwanza huko Tokyo 2020.                                                                                                                                                            

Comments