Kisho : sijafikiria kutolewa uraia , na kuinuka bendera ya Misri huko Tokyo ni ndoto ya maisha yangu

 Mohamed Ibrahim Kisho bingwa wa Misri wa Mweleka alisisitiza kwamba hadithi ya wengine juu ya kumtolea urais na kucheza kwa jina la nchi nyingine badala Misri ni jambo la kicheko kabisa akiongeza : " sijafikiria kabisa kuhusu hivyo inagawa mapendekezo nilizozipata .

 

Kisho aliyepewa wa tano wa michuano ya ulimwengu wa mwisho na kustahili  olimpiki ijayo ,  aliongeza " kustahili kwa Tokyo hukuja baada ya taabu na juhudi baada ya kujiandaa vizuri  kwa michuano hiyo

Na ninahangaika Mwenyezi Mungu kupata medali kwenye olimpiki ya 2020 ." Akiashiria :" ninatolewa njia zote za kufadhili kuanzia waziri Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo na Mhandisi Hisham Hatab mkuu wa kamati ya olimpiki pamoja na Jenerali Esaam Nawar rais wa shirikisho la Mweleka na waafisi wa benki ya Ahly mchango rasmi wa timu ya Faraana ya kiolimpiki na mahusiano ya kimchezo ni wakilisha wangu wa sasa , mtu yeyote akizuia juhudi kupitia kipindi kilichopita na walikuwa sababu moja iliyonifanya nishinde medali ya dhahabu kwenye kikao kilichopita cha kiafrika huko Morocco , na sababu za kunistahilishwa kwa olimpiki ,  kisho alisema :" mahusiano ya kimchezo yanatoa timu mkubwa ya wafanyikazi  wa kazi na nyanja mbalimbali kama watabibu wa taalamu kadhaa ikiwa mtabibu wa kisaikolojia au wa chakula vilevile makubaliano yao na kocha wa binafsi kwangu kwa ajili ya usawa wa mwili wangu na hivyo pamoja na wakufunzi waliofanya mpango kwangu hadi Tokyo 2020 unadhaminisha Makambi kadhaa za nje ".

Comments