Kituo cha vijana cha Al-jazera kinashereha kwa siku ya ulimwengu kwa moyo ili kueneza Uwiano wa kiafya

 Kituo cha vijana cha Al-jazera anapanga chini ya ulinzi kurgenzi ya vijana na michezo mkoani Kairo chini ya uongozi Dokta Ashraf Elbagrmy ,kwa ushirki na shirkio la kimisri kwa magonjwa wa moyo chini ya uongozi Magdy Abd Elhamed ,sehemu ya kuzuia chini ya uongozi Gamila Nasr na taasisi ya Misri chini ya uongozi ni Omr Hasan ,chini ya nembo ya (moyo wangu ni moyo wako ) ,kushrehe kwa siku ya moyo wa ulimwengu ,siku ya jumamosi ijayo katika Siku ya 5 mwaka wa Oktoba

 

Sherhe hii inalenga kwa kueneza Uwiano wa kiafya na kupunguza kutoka kuenea magonjwa ya moyo hasa wagonjwa wa upungufu wa damu na shambulio la moyo  nazo ni sababu kubwa  zaidi za kueneza  vifo ulimwenguni .

 

Kueneza Uwiano wa kiafaya kunaziengatia kwa sababu za hatari kutoka hatua za kuzuia ni pembeni kwa magonjwa ya moyo .

 

Matukio yanaanza kwa mashindano ya Mbio baada ya kutia saini uchunguzi wa matibabu kiasi kwamba jumuia inatoshleza bure ( kipimo bure  cha shinkizo la damu ,vipimo vya ugumu wa mishipa na umri halisi ,ainisha uzito na mafuta ,mafunzo ya dharura ya mapofu ya dhrarura ,na kisha muhadhara unatolewa na maprofesa wa moyo kukuza uelewa wa mtindo wa maisha ya kiafaya .

Comments