Uwanja wa uzalishaji wa kivita au "uwanja
wa salaam" nao ni uwanja wenye matumizi mbali mbali. Uwanja huu uko mjini AL- Salaam, Kairo, Misri. Na kwa
upande wa magharibi unapakana na barabara ya Bilbisi Jangwani. Na kwa upande wa
mashariki unapakana na makaazi ya eneo la AL-Nahda. Na kwa upande wa kusini
unapakana na njia ya AL-Nahda au "njia ya shule". Uwanja huo
unajumuisha zaidi ya mashabiki 25,000.
Umeanzishwa mwaka 2009 kwa ajili ya kuikaribisha michuano ya kundi la pili la kombe
la dunia la vijana mwaka 2009.
VileVile ulikuwa ukitumika kwa ajili ya mechi
za soka.Umebahatika kupendwa kwa timu zote na waandaaji wa shirikisho la
kimataifa la mpira wa miguu (FIFA).
Milango mikuu ya uwanja
Mlango wa kwanza :unapatikana barabara ya
Bilbis Jangwani. Unatumika kwa ajili ya kuingia na kutoka VVIP+VIP, mabasi,
waamuzi na kamati zinazoandaa.
Mlango wa Nne : unapatikana kusini mwa uwanja
huo kwenye njia ya AL-Nahda. Unatumika kwa ajili ya kuingia na kutoka kwa
mashabiki wa daraja la kwanza, kamati za uandaaji za kitaifa na watumiaji wa
vyumba vya Sky box.
Mlango wa Tano ":mlango huu unatumika kwa
ajili ya kuingia mashabiki wa timu wakati wa michuano ya ligi kuu. VileVile
unatumika kwa ajili ya kuingia na kutoka kwa
mashabiki wa daraja la pili na la
tatu wakati wa michuano ya kombe la dunia.
Mlango
wa Sita : unapatikana kaskazini mashariki mwa uwanja. Unatumika kwa ajili ya
kuingia na kutoka kwa mashabiki wa daraja la pili.
Mlango wa Saba:mlango
huu unazingatiwa kuwa ni mlango mkuu. Unapatikana barabara ya Bilbis Jangwani.
Unatumika kwa ajili ya kuingia na kutoka kwa mashabiki wa daraja la tatu .
Sehemu ya kutua ndege
Uwanja huo unapambanulika kwa kuwepo sehemu ya
kutua ndege inayotumika kwa ajili ya kumkaribisha raisi na wageni wake wakubwa. VileVile
inatumika katika kasi ya kuwasafirisha wagonjwa
Maeneo
makuu ya uwanja
Eneo la Rais "VVIP".
Eneo la maafisa.
Eneo la mashabiki wa daraja la kwanza.
Eneo la waandishi wa habari.
Eneo la kamati zinazoandaa.
Eneo la Sky box.
Eneo la wachezaji na waamuzi.
Eneo la huduma ya kwanza na upimaji wa madawa
ya kuongeza nguvu mwilini.
Eneo la Rais "VVIP".
Eneo la mapokezi ya Rais.
Eneo la maafisa "VIP".
Majukwaa
Majukwaa haya yanajumuisha viti 24034. Na
yamebuniwa kwa umbile la yai kwenye pindo dogo katika sehemu ya mkato linampa
kila mtazamaji muono mzuri.
Vyumba vya waliokwama
Uwanja huo unajumuisha vyumba 10 vinavyohusiana
na waliokwama. Vyumba hivi vinajumuisha mahitaji yote ya waandishi wa
habari.
Comments