Waziri wa michezo anashuhudia kura ya mataifa ya kiafrika kwa Soka chini miaka 23 inayostahili kwa olimpiki ya Tokyo 2020

Dokta Ashraf Sobhy _ waziri wa vijana na michezo , alishuhudia usiku wa jumatano maadhimisho ya kupiga kura ya kombe la mataifa ya kiafrika kwa soka chini miaka 23 , ambayo inapokelewa na Misri kupitia kipindi cha 8 hadi 22 Novemba ijayo , na kustahili kwa olimpiki ya Tokyo 2020 huko jumba la Haramlik eneo la Montaza , Aleskandaria .

 

Timu 8 za kiafrika zitashiriki kwenye ubingwa ni Misri ,Cameron , Ghana , Afrika kusini  , Zambia , Cote devoir , Nigeria pamoja na Mali .

Wakati hotuba yake , Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alisema : mwanzoni nataka kuwapa salamu ya mheshimiwa Rais AbdelFattah El Sisi _Rais wa jamuhuri ya Misri , na kujali kwake kuhusu tukio hili kubwa litalofanyika nchini Misri inayokaribia nchi zote za kiafrika "

Sobhy aliendelea kusema :" Misri ina uwezekano mkubwa ili kuhakikisha Mafanikio  katika michuano yote  inayoyapanga , Misri ina miundombinu mzuri pia kuna usalama na amani , na taasisi zote za nchi zinataka kuwekeza mkakati wa Rais AbdelFattah El Sisi kama wizara ya vijana na michezo" .

Aliongeza kwamba : tunataka kuhakikisha mafanikio mapya yanayofululizwa baada tunachotoa kwenye kombe la mataifa ya kiafrika kwa wazima na ambalo wote walio mafanikio yake ya kisanaa na kinidhamu ".

Dokta Ashraf Sobhy alihitimisha kauli yake kwa kushukuru shirikisho la kiafrika na la kimisri kwa utashi wa kudumu ili kuendeleza soka katika bara la Afrika. 

Kura ya michuano ya mataifa ya Afrika chini miaka 23 , ilionesha kuwekwa timu  wamisri ya olimpiki kwenye kikundi cha kwanza pamoja na timu Ghana , Cameron na Mali .

Wakati ambapo Nigeria ilikuja ya kwanza kwenye kikundi cha pili pamoja na timu Cote devoir , Zambia na Afrika kusini .

Inaonekana kwamba uwanja wa Kairo w kimataifa utapokea mechi za kikundi cha kwanza , wakati mechi za kikundi cha pili zitafanyika uwanjani Salam .

Inatajwa kwamba shirikisho la soka la kiafrika "CAF" lilikuwa limeipa Misri upokeaji wa ubingwa baada ya Zambia imeomba msamaha kwa kupanda , timu  zenye nafasi tatu za kwanza zitastahili moja kwa moja kwa kushiriki katika kikao cha michezo ya olimpiki Tokyo 2020

Comments