Misri inashinda heshima ya uandaaji wa fainali za mpira wa wavu zitakazofikia Olimpiki

 Misri imepatia heshima ya uandaaji wa fainali za Kiafrika zitakazofikia Olimpiki ya Tokyo 2020 baada ya shindano pamoja na Tunisia na Algeria, zilizoomba  kupata heshima ya uandaaji wa fainali hizo.

 

Kwa upande wake, Ahmed Abd Aldayem, kaimu mwenyekiti wa shirikisho la mpira wa wavu amesisitizia mafanikio ya Misri ya kupata kwa uandaaji huo kutoka Tunisia na Algeria, ili fainali hizo zinafanyika katika wiki ya kwanza ya mwezi wa Januari.

 

Hivi karibuni Misri imeshinda uandaaji wa michuano ya dunia kwa wasichana chini ya miaka 18 mikoani ismailia na Kairo, iliyopata pongezi kubwa kutoka shirikisho la kimataifa.

 

Imepangwa karibuni kuwa maafisa wa shirikisho la mpira wa wavu watatangaza juu ya ukumbi zitakazokaribisha fainali zitakazofikia Tokyo 2020.

Comments