Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo leo Alhamisi
tarehe 3 mwezi wa kumi amefanya ziara ya uchunguzi kuonesha uwezo wa klabu ya
mji wa October kuandamana na watangazaji na waandishi wa Habari.
Waziri wa vijana na michezo ameeleza kwamba wazo la "klabu"
linategemea kutoa huduma za michezo na
kijamii zinazolenga watu wote wa jamii akielezea kwamba klabu ni bidhaa yenye
istilahi ya uchumi na inafanya kwa istilahi mpya katika usimamizi wa
michezo.
Dokta Ashraf Sobhy ameashiria kwamba sekta ya kibinafsi
inashirikia katika usimamizi wa klabu kwa upande wa uuzaji wa Chama kwa njia
hodari zaidi akielezea kuwa mradi utamalizika katika mwezi wa Novemba ujao.
Waziri wa vijana na michezo amesisitiza kuwa klabu itatoa
huduma kwa idadi kubwa ya wamisri hasa wanaoishi mjini mwa October, akielezea
kuwa klabu itaunga mkono mradi wa kitaifa wa Skwashi ambao majengo yake
yatauvumilia mradi mkubwa huu .
Amesema kuwa klabu inajumuisha idadi ya migahawa, jengo la kijamii, jengo la
Skwashi linalojumuisha viwanja vitano
vya Skwashi, kidimbwi cha kuogelea cha
olimpiki, viwanja vinne vyenye matumizi mengi pamoja na viwanja vitano vya
Kitano, eneo la maduka ya nje na benki pamoja na ukumbi wa Sarakasi wa
kimataifa, eneo la michezo ya kifani na uwanja wa kutembea.
Comments