Waziri wa michezo anashuhudia kusaini kwa mkataba wa kukaribisha Misri kwa kombe la dunia la mpira wa mikono 2021
- 2019-10-05 20:26:30
Dokta Ashraf sobhy " waziri wa vijana na michezo " alishuhudia tangazo na shughuli za kusaini mkataba wa kukaribisha Misri kwa mashindano ya michuano ya dunia (27) kwa wachezaji wanaume wa mpira wa mikono 2021 , na hivyo leo Alhamisi tarehe 3 Oktoba , kwa hudhuria Dokta " Hassan Mostafa " - mwenyekiti wa umoja wa mataifa wa mpira wa mikono , Mhandisi " Hisham Hatab " mwenyekiti wa kamati ya olimpiki ya Misri , " Mansuru Erimu " mwenyekiti wa umoja wa Afrika wa mpira wa mikono ,Mhandisi "Hisham Nasr " mkuu wa umoja wa Misri kwa mpira wa mikono , wajumbe wa ukurugenzi wa umoja , Idaadi ya watu wakuu ( VIP) na makundi ya watangazaji na wanahabari .
Waziri wa vijana
na michezo alisema :-
" sisi tuko leo
ili tushuhudie pamoja
shughuli za kusaini
mkataba wa ukaribishaji
Misri kwa mashindamichuano ya dunia
wa mpira wa
mikono kwa wanaume
2021 , labda Ushirikiano
wa timu 32 kwa
mara ya kwanza
katika kombe la
dunia la mpira
wa mikono 2021 badala
ya timu 24
unatuweka mbele ya
changamoto wazi
linalotulazimisha sote kwa
umuhimu wa kufanya
juu chini kwa
ajili mafanikio ya
michuano na kuuonesha
kwa sura bora
inayoakisi umahiri wa
Misri na uwezo
wake katika kuandaa
na kukaribisha matukio
na michuano ya kimatifa " .
Dokta
"Ashraf subhy "
aliongeza kusema "
chagua la umoja
wa mataifa kwa
mpira wa mikono kwa
Misri ili kukaribisha
tukio hili linazingatiwa kuwa
kama ushahidi wa kuthamini
wa kimataifa na
thibitisho kwa uwezo
na uzuri unaomilikiwa
na Misri na
uwezo wake katika
kutekeleza mafanikio imara
kwa ubingwa Mkubwa
kabisa wa umoja
wa kimataifa kwa
mpira wa mikono
" .
- " Sobhy" aliendelea " chini
ya miongozo ya
Bwana :- rais wa jamhuri
Abdelfatahi El sisi
juhudi za taasisi
za nchi ya Misri
zinakuja kwa ajili
upatikanaji uwezo mzima
unaohitajika kwa kombe
la dunia la
mpira wa mikono
2021 kutoka miundombinu , mahitaji ya kifani
, kimantiki , Idara na
kocha wana uzoefu kamili kuhusu
kuandaa bingwa za
michezo kama vipengele
muhimu na lazima
ili kutekeleza mafanikio
kwa michuano katika
viwango tunavyotarajia sote
katika viwango viwili
kimatayarisho na hadhira " .
Dokta Ashraf sobhy aliashiria kuwa
wizara ya michezo
na michezo inataka
kwa ushirikiano na
umoja wa Misri
wa mpira wa
mikono kuendelea katika
matayarisho ya kombe
la dunia kwa
lengo la upatikanaji
wa miundo mbinu chini
ya viwango vya
kimataifa , akibainisha kuwa imesha fuatilia daima
kinachofanyikiwa kutoka ujenzi
kwenye kumbi zinazofunikwa zinazozingatiwa kukaribisha
mashindano ya michuano ha dunia Kwa mpira
wa mikono.
Sobhy alifafanua kuwa
karibuni itamalizisha ujenzi
wa ukumbi unaofunikwa
mjini mkuu wa
idara mpya nao
ni mojawapo ukombi
ambao utakaribisha kundi
miongoni mwa mashindano
ya ubingwa , akiashiria
kwamba kwa kusambamba
na hayo itakamilisha
majengo mengine na shughuli
za kuendeleza Kwenye
kumbi nyingine , akisisitiza kuwa
kumbi zote zitakuwa
tayari kabla ya
kuzindua kombe la
dunia kwa kipindi
cha kutosha kwa
zingatio masharti ya umoja
wa kimataifa kwa
mpira wa mikono
.
Comments