Wachezaji 26 wanaowakilisha Misri katika mashindano wazi ya Marekani ya skwoshi

Mashindano  wazi ya Marekani ya skwoshi, ambaye ni moja wapo ya mashindano makubwa manane katika mchezo huu, yakaanzisha na yako katika kundi la mashindano ya Platinamu, ambapo pesa za tuzo za $ 168,000 kwa wanaume na wenawake.

Mashindano yanashuhudia ushiriki mpana wa Wamisri licha ya kujiondoa kwa bingwa wa ulimwengu Nour Al-Sherbini na ni idadi ya pili ya wanawake ulimwenguni, kwa sababu ya jeraha la goti, ambapo bingwa wa Misri anasubiri kushauriana na daktari wake wa Ujerumani kabla ya kurudi kushiriki katika mashindano kwa sura ya  kawida.

Philadelphia, USA, inakaribisha mashindano hayo kutoka Oktoba 5 hadi Oktoba 12.

Bingwa wa Misri Mohamed El Shorbagy mchezaji wa Smouha, na anazingatiwa nafasi ya pili duniani ya wanaume wa Boga, na bingwa Raneem El Welily mchezaji wa Wadi Degla, na nafasi wa kwanza wa wanawake, walikuwa wawili wa mwisho kushinda na jina hilo mwaka iliyopita.

Lakini wachezaji wawili mashuhuri Zaidi  aliyefanikiwa kushinda cheo hicho hapo awali, walikuwa mbingwa wa Misri Ali Farag mwenye nafasi ya kwanza Duniani  na mkewe Noor Tayeb mwenye nafasi ya tatu kwa wanawake katika toleo la 2017.

Mashindano hayo ni alama ya kwanza ya Karim Abdel Gawad, mchezaji wa klabu ya Al-Ahly na yenye nafasi ya nne Duniani kwa wanaume wa skwoshi.

Wachezaji wa Misri 26 wa wanaume na wanawake wanashiriki katika mashindano hayo, kwa uhalisi wa wachezaji 12 katika michuano ya wanawake, na wachezaji 14 katika michuano ya wanaume.

Orodha ya Wamisri walioshiriki katika mashindano ya wanawake ilikuwa kama ifuatavyo:

Raneem Alwaily, Yathrib Adel, Hania El Hamami, Nour El Tayeb, Nouran Gohar, Salma Hany, Mayar Hany, Mariam Metwally, Nada Abbas, Rawan Al Arabi, Nadine Shaheen na Zeina Makkawi.

Na katika mashindano ya wanaume, orodha ilikuwa kama ifuatavyo:

Ali Farag, Mohamed El Shourbagy, Tarek Moamen, Karim Abdel Gawad, Marwan El Shourbagy, Omar Mosaad, Zahed Salem, Fares El Desouky, Karim Ali Fathy, Karim El Hamami, Youssef Ibrahim, Mostafa Assal, Youssef Soliman, Mazen Hisham.

Comments