Waziri wa vijana na michezo anasisitiza umuhimu wa uharaka wa kumalizika hatua za utendaji kwa idadi ya miradi ya kitaifa

 Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alikutana na idadi za uongozi wa wizara wa vijana na michezo " Vichwa vya idara kuu" na idadi za wakurugenzi wakuu ili kutangaza na kueleza hatua za mtendaji kwa idadi ya miradi iliyo chini ya utekelezaji na kadhalika Kagua mpango wa kiuwekezaji kwa majengo ya vijana na michezo

 

Na miongoni mwa miradi muhimu zaidi ambayo mkutano uliyaeleza ni kumalizika mradi wa klabu , Tawi la Oktoba , Sheraton Masr  Elgdida na tawi la tatu ni katika mji mkuu wa kiutawala 

 

Na waziri alifuatilia kazi na hatua za sasa za maendeleo na zinazotekelezwa kwa vituo vya vijana katika sehemu zisizo za usalama kwa kushirikiana na  Mfuko wa Maendeleo ya Slum pamoja na kueleza  hali ya mwisho ya sebule zinazofunikwa katika Borg Al Arab , Oktoba , mji mkuu wa kiutawala na utakaokaribisha sherehe za kombe la dunia kwa mpira wa mikono 2021

 

Na katika upande huu , waziri alisisitiza umuhimu wa kufuata kazi zote za sasa na kumalizika kwake katika wakati uliochaguliwa

 

Na Dokta  Ashraf Sobhy   aliongeza kwamba nchi kwa  sasa inampa fursa za kiuwekezaji na za huduma kubwa hasa katika sekta mbili za vijana na michezo , akisisitiza kwamba wizara ilitia saini idadi za Itifaki , Makumbusho ya Uelewa , wizara zinazohusika ,  taasisi za sekta binafsi na Asasi za Kiraia ili kushirikiana katika  jambo hilo

 

Hiyo inakuja katika mfumo wa maelekezo uongozi wa kisiasa kwa kufuata miradi yote na  yanayohusu kufaidika wanaraia na hasa  miradi inayolenga vijana wa Misri katika sekta mbalimbali

Comments