Fatma Samora anapokea tuzo “mwanzishi wa historia” shereheni “mtu bora barani Afrika”

Bibi MSengal  Fatma Samora mkurugenzi mkuu wa shirikisho la kimataifa kwa mpira wa miguu “FIFA”alipokea tuzo la “mtu bora barani Afrika”best of Afrika  iliyofanywa huko London . Na FIFA ilisisitiza kupitia na tovuti yake ya kirasimu kwamba “Samor”alipata tuzo la heshima kwa mujibu wa shughuli zake katika shirikisho la kimataifa ambapo alipata nafasi ya katiba mkuu tangu mwezi Mei mwaka 2016 kama mwanamke wa kwanza wa kiafrika na mwaislamu anapata nafasi kama hii.

Na “Samora” alipata tuzo kutoka nyota ya mwingereza “Riwa Fridnad” mtetea  wa zamani wa timu ya Manshister United

FIFA na CAF zilikubaliana kwa uteuzi “Fatmaa Samora” kama mwakilishi wa FIFA barani Afrika kwa muda wa miezi sita hadi  31 mwezi wa Januari mwaka 2020.ikiwa kuwa kipindi hiki kitaendelea upya kwa mujibu wa mwafaka wa  pande mbili.

ikitajwa kwamba sherehe ya tuzo “Best of Afrika” na ikifanywa kila mwaka huko London na inakusanya kati ya wajumbe wa nguvu zaidi  barani Afrika  wanaoishi nchini Uingereza;kutia mwangaza kwa mafanikio ya heshima waliofanywa.  

Comments