Nchi 23 za kiarabu na kiafrika jionesha majaribio yao ya kujitolea katika Mkutano wa Vijana wenye kujitolea na Wajasirimali
- 2019-04-23 21:28:45
Jumbe
za nchi zinzoshirki kwenye mkutano wa
kiarabo na kiafrika kwa vijana
wenye kujitolea na wajasirimali zimejionesha majaribio yao ya kujitolea
kuhusu huduma ya mataifa yao. Hiyo katika
shughuli za siku ya pili ya mkutano, unaoandaliwa na
Wizara Ya Vijana na Michezo ya
kimisri kwa kushirikiana na Umoja wa
Kiarabu wa kujitolea , katika kipindi cha (19-26) mwezi Aprili wa sasa mjini Kairo.
Jumbe ya
Misri imetoa mipango; "TEFLSHIP,CREDERE,TRVEL BASE,GOBILCE ,
Nyanja yako, sisi ni pamoja na wewe, vyombo vya habari ya kiutu na wanaojitolea
wa kiafrika". Jumbe ya Mauritania imetoa mpango wa " jaribio la mona
ya kimauritania". Jumbe ya Lebanon imtoa "jaribio la
Lebanon". Jumbe ya Yemen imetoa
mipango; " kamati ya udhrura wa
kiuwanja , wenye kujitolea wa Yemen na duka ya mikate ya kiheri". Jumbe ya
Al-jeria imetoa mpango wa" mtoto wako ni rafiki yako". Jumbe ya
Jibouti imetoa mipango ya; " jumuia ya wajasirimali na jibs". Jumbe
ya Benin imetoa mpango wa " umoja mkuu wa wanafunzi waafrika" na
Jumbe ya Nigeria imetoa mpango huo huo. Na Jumbe ya Somalia imetoa mpango " wanafunzi
wasomalia".
Inasemekana
kuwa jumbe zinazoshirki katika mkutano ni " Zambia, Mauritania, Sudan
kusini , Malawi, Sudan, Uganda, Djibouti, Nigeria, Gabon, Ghana, Benin, Emarat,
Baharin, Yemen , Saudi Arabia, Lebanon, Al-jeria, Oman, Palestina, Comoros,
Jordan, Somalia" pamoja na jumbe ya Misri.
Comments