Umoja wa Afrika washiriki kwenye mkutano wa nafasi ya Misri katika taasisi zenye pande mbali mbali.

Balozi na mshauri wakisheria wa umoja wa Afrika Dk"Namira Negm"ameshiriki kwenye mkutano kwa anuani ya "nafasi ya Misri katika taasisi zenye pande mbali mbali " uliofanyika katika Chuo cha kimataiafa cha siasa na uchumi mjini Belgard , hiyo kwa kuhudhuria mabalozi wa mataifa ya kiarabu na ya kigeni ambao huwakilishia serikali zao mjini Belgard  kuitikia wito iliyotolewa na Balozi wa Misri nchini Serbia bw"Amr Elgwely ".

Balozi wa Misri mjini  Belgrad ameionyesha nafasi ya Misri na juhudi  zake katika Nyanja za;  kisiasa, kiuchumi ,kulinda amani na usalama ulimwenguni katika taasisi ya umoja wa mataifa, kundi la 77, China na uongozi wake kwa umoja wa Afrika mwaka huu.

Balozi Namira Negm ametoa maoni yake kuhusu muhadhara uliotolewa na Balozi wa Misri na kujibu swali linalohusu amani na usalama kwenye eneo la magharibi na Katikati mwa Afrika na nafasi ya umoja wa Afrika katika  kudhamini hali  ili zisishoke chini huko.

Akieleza kuwa jukumu kuu la hivi sasa la umoja wa Afrika ni upande wa maendeleo kupitia kuanzisha eneo la biashara huru ambalo litahudumia bara zima ,tukitarajia hayo kupunguza matatizo mengi yakiwemo umaskini, ugaidi na mengine.

 Pia bb"Namira "ameashiri mchango wa umoja wa Afrika katika kufanya uratibu na taasisi za kijimbo katika Afrika yakiwemo; Upwa na Sahara, shirikisho la Ekwas na shirikisho la Alaks ili kuleta amani na usalama kwenye maeneo hayo mawili na hivyo hivyo barani kwa ujumla,na kwamba juhudi zinazofanywa  hivi sasa kwenye uwanja wa kuyajenga upya mataifa yanayotoka kutoka migogoro zitakuwa na mchango mkubwa utakaohudumia kuendelea kuiimarisha amani barani.

Comments