Baada ya ushindi wa medali ya kidhahabu kwa silaha ya Elshish ..bingwa wa Ufaransa anacheza ngoma juu ya nyimbo za Amr Diab

 Bingwa wa Ufaransa naye mchezaji wa timu ya Majogoo ya Ufaransa Michael joy alijaza sebule inayofunikwa katika uwanja wa Kairo kwa ngoma juu ya nyimbo za Amr Diab na hivyo baada ya kushinda kwa medali ya kidhahabu katika awamu ya miaka 50 kwa silaha ya Elshish miongoni mwa mashindano ya dunia kwa waanzishi wa silaha  yanayofanyika sasa mjini mkuu mwa Kairo

 

Na baada ya kumalizika sherehe ya ushindi , jogoo wa Ufaransa michael joy akicheza ngoma kwa furaha wa ushindi  mkubwa huo juu ya nyimbo za Amr Diab " mpenzi wangu , ewe mwanga wa macho "

 

Wengi wa wachezaji wa timu nyingine walicheza ngoma naye na Mbele yao mashine ya Wajerumani na wanaojitolea katika mashindano ili Kuishi wakati ambao haujawahi kufanywa katika tarehe yake ya michezo

 

Na nafasi kutoka ya pili hadi ya tatu katika awamu hii hii zilihusu mashine ya wajerumani kwa mfululizo jodo kwants , tomas brodi na danial markos

 

Na katika awamu wa miaka 70 kwa wanaume ,Richard Brody wa Australia alishinda  nafasi ya kwanza na medali ya kidhahabu  , mmarekani Brono Josins  alichukua nafasi ya pili na wafaransa Jakoz Bina na Frankoiz Robert Walichukua nafasi ya tatu

 

Na katika awamu ya miaka 70 kwa wanawake , mchezaji wa Ufini Toliki Somoroga alishinda nafasi ya kwanza , mwingereza Sozan Oof alishinda nafasi ya pili na mmarekani Dini Klaws na mchezaji wa Australia Korini walichukua nafasi ya tatu 

Comments