Dokta Yeaha Abdelkader mkuu wa shirikiano la kimisri kwa Darts alitoa ombi rasmi kwa mkutano mkuu wa shirikano la taifa la Darts ili kukaribisha Misri kombe la dunia la Darts 2025 kwa ajili ya Misri iwe ya kwanza kwa waombaji ili kukaribisha michuano na itakayokaribishwa kwa Romania kama nakala yake ya sasa ambayo namba yake 22 hadi siku ya 12 katika mwezi wa oktoba huu .
Mkutano mkuu wa
shirikano la kimataifa la
michezo unashuhudia mahudhurio
kwa viongozi wa
mashirikiano ya nchi
78 na wawakilishi
wa kamati ya
olimpiki ya kimataifa
.
Na duru hii
inakuja baada ya
kwenda miaka 44 kwa
kuzindua michuano ya
kombe la dunia
kwa Darts inayofanyiwa
kila miaka miwili
.
Misri
inazingatiwa kuwa nchi
ya kiarabu ya
mashariki ya katikati
ya kwanza inayopata
uhalali wa shirikiano
la kimataifa Kwa Darts
.
Na baada
ya miaka mitatu
tu kutoka kuingia
shirikiano la kimataifa hilo
,misri inaweza kushiriki
katika toleo lile namba 22 kwa
kombe la dunia
kwa darts kwa
mara ya kwanza
.
Mkutano mkuu ulijadili
Ajenda kubwa inakusanya
vipengele muhimu vinavyohusisha Misri
na ilikuwa vyake
vya kwanza ni :-
repoti iliyotolewa na
Dokta Yeaha Abdelkader
mkuu wa shirikiano
la kimisri kwa
Darts juu ya
juhudi zilizotendwa na Misri
kuhusu kuunda shirikiano
la kiafrika kwa
Darts mjini Kairo
na kwa kuzingatia
kwake itazindua shindano
la kombe la
Afrika la Darts
kwa mara ya
kwanza mjini Kairo
ambapo imesha wasilisha na
nchi za Afrika 11
na kupata idhini
yake kwa kuunda
shirikiano la Afrika
la darts mjini
kairo . Vilevile, imesha
weka kanuni
ya mfumo wa
kimsingi na katiba
la shirikiano la
Afrika la Darts
na zinazobaki kutoka
taratibu ni mpangilio
wa michuano ya
Africa ya kwanza
kwa darts kama
hatua ya msingi
inafanyiwa na Misri
.
Mkutano ulishuhudia pia
shindano kali kwa
mpangilio wa kombe
la dunia 2021
kutoka nchi 5
nazo ni ( Ujerumani
, Italia , Ubulgharia , Uturki
na Korea ) na kila
nchi inaonesha onesho
na inadhihirisha uwezo
wake kutoka uzoefu
wa kimwili , kifani
, miundombinu , mahali pa kitalii
na vipengele vingine
vinavyounga mkono kwa
kukaribisha nchi za
dunia , ambapo Korea
imeweza kupitia vyake
kushinda kwa mapangilio
mzuri wa michuano
ijayo baada ya
kupata Aghlabu ya
sauti za kura .
Dokta Yeaha Abdel kader
mkuu wa shirikiano
la kimisri kwa
Darts alisema kuwa
ushirikiano wa Misri
katika kombe dunia
kupitia nakala ya
sasa mwenye manufaa
ambapo imesha shirikishwa
na kundi zima lina wachezaji
( wanawake na wanaume ) 12
kutoka umri wa watu
wazima na vijana
na wasichana katika
mashindano ya michuano
yote , na misri
ilimuonesha mchezaji mdogo
kabisa katika michuano
nzima mwenye umri 14.
Jambo ambalo limeamsha
heshima na thamani nchi
za ulimwengu zinzohudhuria mkutano
kutokana na mafaniyikio
haya ya haraka
yaliyofanyiwa kwa Misri katika
miaka mitatu tu
na uwezo wa
Misri umeakisi kati ya
nchi zinzoshiriki.
Aliashiria kuwa
hatua muhimu zinastahili kuamsha
zingatio la taasisi
zote vizuri nchini
Misri ili kusukuma
mchezo huu kwa mbele .
Comments