Mkutano wa kiufundi wa michuano ya Kiafrika ya Kunyanyua uzani inayofikisha Olimpiki za 2020 za Tokyo waanza
- 2019-04-24 20:34:51
Mkutano wa
kiufundi wa Michuano ya Kiafrika ya Kunyanyua Uzani n. 29 kwa wanaume na n.18
kwa wanawake umeanza leo asubuhi , mashindano yanayofanyika kwenye Jumba n.2
katika Uwanja wa Kimataifa wa kairo , Katika kipindi cha 23 hadi 30 Aprili 2019.
mkutano
ulianza kwa kikao Kwa refa na kocha kuhusu marekebisho na ufafanuzi wa sheria mpya pamoja
na taratibu zake
kilifuatiwa
na kikao Kwa refa waamisri na wageni wanaoshiriki kuhusu marekebisho ya sheria mpya ,kilifuatiwa
kwa mkutano kuhusu maelekezo kwa refa na kuwaganywa kwao juu ya vipindi vya uamuzi wa
mashindano.
Inasemekana
kuwa nchi 15 zitashiriki katika michuano
hiyo nazo ni "Misri, Algeria, Tunisia, Uganda, Kenya, Lesotho, Ghana,
Botswana, Cameroon, Madagascar, Nigeria, Morocco, Afrika Kusini, Mauritius na
Libya"
Comments