Misri imepata medali ya Kwanza katika michuano ya dunia ya pwani kwa mchezo wa Taikondo
- 2019-10-13 11:21:05
Imewaheshimu wachezaji wawili wa free style chini ya umri 17 "Fairuz Nowar" na "Ahmed Hassan " wanaochaguliwa kama wachezaji wa timu ya taifa ya Taikondo kwa medali ya shaba katika michuano ya dunia ya pwani kwa Pomaza inayofanyiwa mjini " Ghardaka " .
Nchi 9 zinzoshiriki katika
michuano nazo ni
Misri , Morocco ,
Uhisbania , Ujermani , sudia Arbia
, Libya , Urusi
, Iraq na
Bahrain .
Na michuano
inafanyiwa kwa ushirikiano
wa wachezaji ( wanaume, wanawake) 76
wanaowakilisha nchi 14 ,Pamoja
na Korea ya
Kusini inayoshiriki kwa
kundi la maonesho
linaloundwa kutoka wachezaji 15 . Linakusanyika
wachezaji 23 ( wanawake
,wanamume) nao ni
Noor Muhamad Elgandy , Ali
Ahmed Badar , Ebaa
Ajenda Kamel , Muhamed Abdel
Azem , Ibrahim Mamduh,
saif magdy , Abdel Fatah
Matwali , soundos Atia Elkot
, Tasnim Mahmoud , Sanaa
Solimani , Hend Abdel
Hafiz ,Salam Hussin
,Abdallah Maray , Muhamad
Hakazy , Abdallah Hassan
, Mohamed Abo lila ,
Ahmed abu shady
, Amer Fawzy , Shahd
Abdelfatah , Shahd Ibrahim
, Fairuz Nouar , Rawan
Omer na Jana
Abdel Razek .
Comments