Programu ya maandalizi ya vijana waafrika inaendelea na shughuli zake katika maktaba ya Aleskandaria

 Kituo cha masomo ya kimazingira  kwa msaada wa ubalozi wa ujuzi katika maktaba ya Aleskandaria inaanza programu ya maandalizi ya vijana waafrika ,  inayosaidiwa na ubalozi wa ujuzi na kituo cha masomo ya kimazingira kwa mwaka wa tatu .

 

Vilevile programu hiyo ilianza mnamo mwaka 2011 kwa lengo la kufadhili wanafunzi waafrika wanaofunza katika vyuo vikuu vya Kimisri , na kufungua milango ya kuwasiliana na kuungana baina ya wanafunzi waafrika na wenzao wamisri .

Ubalozi wa ujuzi ulishirikiana na kituo cha masomo ya kimazingira wakati ambapo programu hiyo inapangwa ndani ubalozi wa ujuzi katika chuo kikuu cha Kairo mara moja kwa wiki mbili wakati wake wanafunzi wanajua njia za taarifa na vyanzo vya ujuzi unaowezekana  ubalozini .

 

Pamoja na ushirikiano wa wanafunzi na wenzao wamisri katika maandalizi ya maonesho mbalimbali kuhusu nchi kadhaa za kiafrika , kwa upande wa kijiografia , idadi za wakazi , tabia na mila zinazo zipo , pamoja na vikao vya majadiliano na mitazamo inayohusu nyanja mbalimbali , hujadili idadi ya maudhui yanayohusu vijana , kama maendeleo ya nishati na uwezo .

 

Vijana wanatoka nchi mbalimbali kutamani kuumba vituo vya mawasiliano na kubadilishana uzoefu na maoni haya kuwatolea vijana wamisri  na mwenzake wa kiafrika faida za pande zote . Na kwa hiyo ubalozi wa ujuzi ulishiriki katika kufanya jukumu lake muhimu na bora katika kusambaza elimu na ujuzi katika kote Jamhuri .

Comments