chini ya uangalifu wa wizara ya vijana na michezo ... luxor inashuhudia hitimisha la mashindano ya waarabu na waafrika wa Triathlon na maandamano ya kimataifa kwa kutembea na baisikeli kwa upendo wa Misri

  Mmashindano ya kiarabu na kiafrika ya diathlon ( Mbio - baiskeli - kutembea ) huhitimisha shughuli zake imeandaliwa na shirikisho la Triathlon la Misri huko luxor wakati wa kipindi cha 9 hadi 11 oktoba 2019 na ushiriki wa wachezaji 450 chini ya utunzaji wa wizara ya vijana na michezo

wanachama wa bodi ya wakurugenzi wa vyama vya Misri , kiarabu na kiafrika na kimataifa cha Triathlon na wakilishi wa wizara ya vijana na michezo kwa maendeleo ya michezo na mipango ya umma na idadi kubwa ya wanariadha na vyombo vya habari hushiriki katika shughuli za hafla ya kufunga na kuheshimu washindi

 kwenye pembeni mwa mashindano hayo wizara ya vijana na michezo ilipanga matembezi ya kutembea na baiskeli ambamo vikundi vya umri tofauti na watu wenye mahitaji maalum ( walemavu ) walishiriki kwa kushirikiana na shirikisho la Triathlon la Misri na mkoa wa luxor na Wizara ya Elimu

Maandamano hayo yanakuja ndani ya mfumo wa maadhimisho ya Misri ya sikukuu ya Oktoba na kusisitiza kwamba Misri ina historia na ushindi na ina uwezo wa kutengeneza siku za usoni na watoto wake waaminifu na imeshiriki katika hafla ya michezo kwa wachezaji wa triathlon ili kukuza utalii katika luxor ambayo ni moja ya miji muhimu ya kitalii , kiathari na kihistoria duniani

Mkutano wa chama kikuu cha shirikisho la triathon na ilifanyika pembeni mwa mashindano hayo pia ilimpongeza rais wa shirikisho la kimataifa la triathlon Mary Sol Casado kwa jukumu kubwa la Dokta  Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo kwa udhamini wake wa mchezo na hamu yake ya  kutoa aina mbalimbali ya msaada na utunzaji wa shirikisho na matokeo zote zinazokaliwa na misri katika nyanja mbalimbali za shirika zinazoonyesha picha nzuri kila wakati inafaa sifa ya kimataifa ya Misri

Katika muktadha unaohusiana , kufanya mkutano wa bodi ya wamurugenzi wa jumuiya ya kiarabu na chama chake kikuu ili kutathmini hali ilivyo sasa na kusisitiza juu ya shirika la mashindano zaidi katika kipindi kijacho kuanzia nchi wanachama kwenye jumuiya ya kiarabu na kupanua mazoezi na kuvutia nchi mpya ili kujiunga

Comments