Wizara ya vijana na michezo inapanga matembezi ya kiutalii kwa ujumbe na timu wanaoshiriki katika michuano ya ulimwengu wa Silaha
- 2019-10-15 11:42:50
Wizara ya vijana na michezo ilipanga ziara ya kiutalii kwa timu na ujumbe wanaoshiriki katika michuano ya ulimwengu wa Silaha itakayokaribishwa na Misri mnamo kipindi cha 5 hadi 11 Oktoba , na hivyo katika ukumbi uliofunikwa kwenye uwanja wa kimataifa wa Kairo .
Ziara hiyo ilijumuisha ziara ya piramidi , washiriki walijua
historia eneo hilo la kiathari la ulimwengu , wakati wa ushangiliaji wa wachezaji wa timu wanaoshiriki katika
michuano .
Ziara hiyo ilijumuisha ziara ya makumbusho ya kimisri katika
Tahrir , jumbe wote wa nchi zinazoshiriki katika michuano ya ulimwengu kwa
Silaha walishuhudia vikundi vikubwa vya
vitu vya athari vilivyokuwa wakati wa era za kihistoria mbalimbali na washiriki
wakishughulikia kupiga picha za kumbukumbu na athari za kimisri .
Inakuja katika mfumo wa jukumu la wizara ya vijana na
michezo ili kuamsha utalii kupitia ubingwa na matukio ya kimchezo ya
kiulimwengu , ilipanga programu ya kiutalii kwa idadi ya timu 45 wanaoshiriki
katika michuano ya ulimwengu kwa Silaha unaofanyika hapa Misri , programu hiyo
inajumuisha idadi ya ziara za utalii kupitia muda wa michuano ili kuzuru mahali
pa athari na utalii nchini Misri
Comments