Serikali ya Misri yachunguza kuanzisha kampuni ya meli na kusafirisha ya kibahari… kwa lengo la kuiunganisha Misri na nchi za Afrika

Dkt.Mustafa Madbouli waziri mkuu aliwaagiza haraka ya kuunda mtazamo jumuishi kuhusu uanzishwaji wa kampuni ya kitaifa ya meli na kusafirisha ni pamoja na; uwezo tulizo nasi , kiasi  cha biashara zinazobadilishwa hasa na nchi za kiafrika , sheria zinazohitajika au zitakazorekebishwa kuhusu kuanzishwa kwa kampuni hii na vibali na ruhusa zinazohitajika

katika mkutano ulihudhuriwa na; Mhandisi Kamel El-waziri waziri wa usafirishaji , Meneja Mohab Mamiish mwenyekiti wa bodi ya kiuchumi ya mfereji wa suez , Balozi Abubakr Hefny  msaidizi wa  waziri wa mambo ya nje  kwa mambo ya kiafrika , Balozi Khaled Youssef msimamizi wa shughuli za mkuu wa bodi ya maendeleo ya bidhaa za nje na Maafisa wa idadi ya pande husika, Dr.mustafa madbouli alisema:lengo letu ni kuiunganisha Misri na nchi za Afrika ,na kwamba mikutano tofauti iliyofanyika na wanachama wa kamati za  kuzisafirisha bidhaa nje ombi lililo muhimu zaidi la pande mbili lilikuwa ni; kutilia manane meli na usafirishaji hasa kwa nchi za Afrika ,ambapo hiyo itachangia kuyaongezeka mauzo ya nje ya Misri kwenye nchi hizi .

kwa  hivyo mikakati ya kuyaimarisha  mauzo mapya ya  nje ya kimisri yametengwa 2 bilioni lE ili kuimarisha meli kila mwaka inathibitisha umuhimu wa serikali kwa faili hii.

Comments