Waziri wa Michezo anaipongeza Zamalek kwa Mashindano ya Mpira wa Mikono wa Afrika

Waziri wa Vijana na Michezo Dokta Ashraf Sobhy aliipongeza klabu ya Zamalek kwa kushinda kwake Mashindano ya klabu za Afrika baada ya kuipiga mwenzake wa Misri klabu ya Sporting kwenye mchezo wa fainali na alama ya 31/31 katika mashindano yaliyofanyika Cape Verde mnamo kipindi cha 4 hadi 13 Oktoba hii .

 

Waziri wa Vijana na Michezo alionyesha furaha yake kwa kuwa fainali ya mashindano ya kiafrika ilikuwa kati ya timu mbili za kimisri zilizopendekezwa na utendaji na Ngazi maalum ya wachezaji wa timu mbili wakati wa mechi za mashindano na roho iliyoonekana wakati wa mechi ya fainali, akisisitizia kuwa walivyofanya mfano mheshimiwa wa mpira wa mikono wa kimisri, na wao ni walikuwa bora wa wajumbe wa mchezo wa Misri, kuonyesha maendeleo makubwa ulioshuhudia mfumo wa mpira wa mikono ya Misri katika nyakati za hivi karibuni .

 

Timu ya mpira wa mikono kwenye klabu ya Zamalek ilikuwa imeanza njia yake katika mashindano ya kiafrika kwa kushinda kwake  timu ya Dispor ya Tivo de Praia's Cape Verde na alama 45-25 , Eitoal Du Congo na alama  41-26, na timu ya vab ya Kameruni na alama 28-23, na timu ya wedad smara ya morocoo na alama 38-32 na ilifikia mechi ya fainali baada ya ushindi wake juu mwenzake inter club ya Angoly na alama 30-18.

 

kwa upande mwingine, timu ya Sporting ilishinda kwa mara ya kwanza katika historia yake kwa fainali ya mashindano baada ya kufikia alama kamili katika duru ya kwanza kwa kushinda kwake juu ya timu ya inter club ya Angola , Word star ya ivory , Woogy CK na Etilitco na  kutoka Cape Verde,  iliendelea njia yake kueleka fainali kwa kushinda juu ya Fab ya Cameroon katika robo ya fainali na vijana wa Konshasa ya kongo katika nusu fainali na alama  27-20.

Comments