Waziri wa vijana na michezo anatafuta na Wakala ys Ushirika wa kijerumani ili kuanza miradi mengi ya pamoja
- 2019-10-19 19:34:22
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alikutana na Tobas Tell naibu wa meneja wa ofisi ya GIZ katika jamuhuri ya Misri ya kiarabu na meneja wa idara ya utaratibu wa sekta na pande zinazohusika katika chombo cha kijerumani na hivyo hufanyika kwenye diwani kuu ya wizara ili kujadili programu kadhaa zinazohudumu vijana ndani ya Misri na kutambua mikakati na mielekeo muhimu zaidi katika wizara Katika muda wa karibu na siku zijazo
Mkutano ulijumuisha
majadiliano ya hatua za kimsingi kwa mazungumzo rasmi kwa serikali za Jamhuri
ya kiarabu ya Misri na Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani kwa mwaka wa 2019 na
jukumu la wizara ya vijana na michezo na
chombo cha kijerumani katika raundi ya pili kwa mkutano wa mwanamke wa
kiarabu 2020 pamoja na kujadili
utamaduni wa haki za binadamu katika vituo vya vijana kwa kushirikiana na
chombo cha kijerumani na baraza la kitaifa kwa haki za binadamu na kuimarisha
Ushiriki wa jamii kwa vijana na hasa wanawake na Watu wenye ulemavu. Katika
shughuli za maendeleo ya kitaifa na maendeleo endelevu
Na mkutano ulijumuisha
kutambua kwa mradi mpya "Fursa sawa sawa na maendeleo ya kijamii " na
inayoamuliwa ushirikiano wa pamoja katika mradi huu ambapo utazindua mwanzoni
mwa mwezi wa Aprili 2021 na utaendelea hadi 2024 na mradi unazingatia vipengele
vingi na miongoni mwake " kuwawezesha vijana , mwanamke na wenye mahitaji
maalum na kufanya kazi juu ya maudhui za
maendeleo ya wakazi kwa kutumia njia ya uhesabu kwa ajili ya maendeleo kama
utaratibu wa kimsingi wa utekelezaji ili kuwezesha vijana na kunukuu maadili
kama uadilifu , heshima ya pande zote ,
Uwajibikaji na roho ya timu"
Comments