Kambi liliyofunga kwa timu ya Misri ya mpira wa pwani kuandaa kwa Kombe la dunia kwa mabara

 Timu ya Misri kwa mpira wa pwani ilianza mazoezi yake kupitia kambi liliyofunga katika hoteli  moja mkoani Kairo ili kuandaa kushirki mashindano ya kombe la dunia kwa mabara mjini Dubai katika muda siku ya 4 mwezi wa Novemba mpaka siku ya 10 mwezi wa Novemba kuongozea kuandaa kwa mwisho wa michuano ya nchi za afrika zinazofikia kombo la dunia .

 

Dokta Sahar Abd Elhak mjumbe wa baraza la idara ya mpira na msimamizi wa timu ya mpira wa pwani alishughulikia kuhudhuria kwa kambi la timu na kufanya kikao na wachezaji ili kuhamsisha na alisistizia kwao kuwa kufanya kusuluhisha migogoro na kusahilisha migogro itakayowapambana kama kufanya  kazi juu ya kujenga kambi na kutoshleza mechi za kitaifa ili kufanya juhudu kupitia kipindi kijacho katika mazoezi kwa ajili kifichua kwa umbo zuri na kuhakiksha matokeo mazuri katika michuano ya kombe la dunia kwa mabara .

 

Timu ya Misri inashirki katika michuano ya mabara miongoni mwa kundi la kwanza linalojumuisha  Urusi, Iran, na Mexiko ,kundi la pili Emarits ,Italia ,Uhispania  na Japan .

 

Orodha ya timu ilijumuisha Abd Elrhamn Hassan ,Hussiny Taha,Mustafa Samer ,Mohamed Abd Elnsby ,Ahmed Elshaht,Mustafa Sayed ,mustafa ali ,mustafa ahmed ,eslam Elafret ,Mohamed Fawzy ,Abd Elazizi Sabah na Karem Sayed .

 

Abd Elwahad Elsayed bingwa wa  zamani wa klabu ya zamalk anaongoza  timu ya kitaifa ya Misri baada ya mkurgunzi wa timu  Mustafa Lotfy mkurgunzi wa ufundi ,Ahmed Abo Srea kocha mkuu ,Yaser Abd Ekhalek kocha wa Goli kipa  ,Dokta Walied Manzor ni Dokta ,Dokta Omr Helmy ni msimamizi wa mizigo na Abas Hassanen ni Mwanasaikolojia wanaongoza timu ya Misri kwa mpira wa pwani .

Comments