Shirikisho la Mpira limehakikishia maandalizi ya timu ya kitaifa ya Misri ya Olimpiki kwa kombe la mataifa ya Kiafrika
- 2019-10-19 19:39:16
Shirikisho la Mpira limefanya mkutano mkubwa chini ya uongozi wa Amr Alganyny, mwenyekiti wa kamati ya utekelezaji wa shughuli za shirikisho kwa lengo la kutatua matatizo yoyote linalowezekana kuikabili timu ya kitaifa ya Misri ya Olimpiki kwa ajili ya uandaaji wa hali mbele yake ili kuhakikisha lengo kuu la ushiriki wake katika kombe la mataifa ya Kiafrika chini ya miaka 23 litakaloundwa na Misri mwezi ujao, na ambalo ni litafikia kikao cha michezo ya Olimpiki Tokyo 2020.
Dokta Ahmed Abdallah,
Mwanachama wa Kamati inayosimamia timu ya kitaifa ya Olimpiki amehudhuria
mkutano na kocha Shawky Ghareeb, mkurugenzi wa kiufundi wa timu ya Olimpiki,
pia Hossam Alzanaty, mkurugenzi wa michuano hiyo na Amr Wahby, mkurugenzi
mtendaji wa shirika la presentation linalolidhamini shirikisho la Soka .
Kwa upande wake, kocha
Shawky Ghareeb, mkurugenzi wa kiufundi wa timu ya kitaifa ya Olimpiki
amesisitiza kuwa mkutano unajumuisha mambo yote yanayohusiana na kambi la
mwisho kwa timu, kabla ya michuano, akiashiria kuwa ameshuhudia kutoka pande
zote kujali kwa kukidhi njia zote za raha kwa timu ya kitaifa ya Olimpiki kwa
ajili ya kuhakikisha lengo la michuano hiyo na hilo ni kufikia Tokyo 2020,
kisha kufuzu kwa michuano hiyo.
Shawky Ghareeb ametoa
shukrani kwa pande zote za shirikisho la Soka na wizara ya vijana na michezo na
kamati inayoandaa michuano hiyo, na pia kampuni ya presentation inayodhamini
shirikisho la soka juu ya juhudi zao katika kutatua matatizo yote ya timu ya
kitaifa ya Olimpiki kabla ya michuano.
Comments