Ujumbe wa CAF unasifu maandalizi ya Hurghada ya sherehe bora zaidi barani Afrika .. na mtoaji wa nyota ni mshangao
- 2019-10-19 19:41:57
Ujumbe wa Shirikisho la Soka la kiafrika CAF ulisifu maandalizi ya kweli ya sherehe bora zaidi barani Afrika na inayopangwa kufanyika mnamo tarehe ya 7 Januari mwaka wa 2020 huko eneo la Sahl Hashish , Hurghada , ambapo meneja mtendaji wa shirikisho la Soka la kiafrika na meneja wa masoko na timu ya kazi inayofuata maendeleo hata wakati wa sherehe inayoutolewa kwa ulimwengu wakisisitiza mahudhurio ya nyota wa soka ya kiafrika na kimataifa na wageni wa shirikisho la soka la kiafrika CAF mwingoni mwa masharikisho ya bara , pamoja na mkuu wa shirikisho la kimataifa FIFA , Envantino .
Kwa upande wake
mfanyabiashara Kamel Abu Elila ambaye kikundi chake kitaipokea sherehe ya
kimataifa , alisisitiza kwamba anafurahi kwa maandalizi ya shirikisho la Soka
la kiafrika CAF hasa juhudi za umma
zinazitumia shughuli kwa kufuata kwa
kila siku baina yake na mkuu wa mkoa wa Bahari nyekundu jenerali Ahmed Abdallah
, zinaoneshna kwamba tukio hilo litatokea ulimwenguni kwa uhakika .
Abu Ali aliongeza
kwamba upangaji wa sherehe kwa kiasi
hicho unasisitiza uwepo wa Misri upo juu ya nchi zote , akiashiria kwamba kazi
inafanyika kwa namna ileile inayotangazwa na Rais AbdelFattah El Sisi wakati
Misri ilipata ujasiri wa bara , na kuandaa kombe la dunia la Afrika CAN 2019 , ambapo Rais alisisitiza
kwamba upangaji wa kimisri unapaswa kuwa nakala ya ulimwengu na sio sawa na
ulimwengu .
Katika muktadha wa
ujio wa sehemu na aya za sherehe hiyo, Abu Ali alisema : : Tunachoahidi kama
kikundi cha kufanya kazi ni sherehe ya ulimwengu, na nawaambia wamisri kwamba
kuna mshangao mzuri katika sherehe au wageni
.. pamoja na mtoaji wa sherehe na vipindi vyake atakuwa mchango mkubwa ,
awe ni nyota siye wa kawaida .
Kamel Abu alimaliza
matamshi yake kwa kusisitiza kwamba Umoja wa Afrika tuzo za shirikisho la Afrika CAF , na itakuwa
mazungumzo ya ulimwengu wote , Mwenyezi
Mungu akipenda .
Ni muhimu kukumbuka
kuwa washindi wa tuzo bora zaidi, iliyokuwa ikiitwa Mpira wa Dhahabu wakati
ilizinduliwa mnamo 1970 ya karne iliyopita ni pamoja na kicheza mchezaji bora
zaidi .. Pia mchezaji bora wa vijana na klabu bora, kocha na kipa, watazamaji
na Muungano.
Comments