Waziri wa michezo anatoa pongezi kwa timu ya taifa ya Makasia kwa kushinda katika michuano ya Afrika
- 2019-10-19 19:57:17
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alitoa pongezi kwa baraza la usimamizi wa shirikiano la Misri kwa Makasia na kwa wachezaji wote wa timu ya taifa baada ya kufuzu kwa jina la michuano ya kiafrika ya Makasia ambayo imefanyiwa nchini Tunisia mnamo kipindi 14 mpaka 16 mwezi huu wa oktoba kwa ushirikiano nchi za Afrika 12 na zinazofikia olimpiki wa Tokyo 2020 .
Timu ya
taifa ya Misri ilifika
mbele katika jedwali
ya mpangilio wa michuano
kwa idaadi ya
medali 18 mbalimbali kwa
mujibu ya medali 8 za
dhahabu , medali 6 za kifedha
na nishani 4 za shaba ,
ikishinda nchi zinzoshiriki
katika michuano zinazo ni
" Tunisia, Algeria ,Libya ,
Morocco , Uganda ,Côte d'Ivoire , Nigeria
, Banin , Angola ,Nambia
na Zimbabwe " .
Vilevile , Mchezaji
mmisri" Abdel khalek El bana " aliweza kufikia Olimpiki wa
Tokyo 2020 kupitia mashindano
ya michuano .
Waziri wa
vijana na michezo alisisitiza kwa
kufuatilia Mara kwa
Mara kwa matokeo
ya mabingwa wa
Misri wanaoshiriki katika
michuano ya michezo
mbalimbali zinazofikia Olimpiki wa
Tokyo 2020 , na kutoa msaada
kamili na kuunga
mkono nao kwa michuano
hiyo , na kufikia Olimpiki kwa
kuandaa na kamati
ya Olimpiki na
mashirikiano ya michezo
.
Dokta Ashraf
Sobhy alisisitiza kwa
umuhimu wa kujiandaa
kamili kutoka upande
wa wachezaji wote
wanaovukwa mpaka sasa
hivi kwa Olimpiki
wa Tokyo 2020 kupitia kutekeleza
programu na mipango
ya mazoezi inayowahusu
ili kuonesha utendaji
bora wakati wa
mashindano ya Olimpiki
na kupata nishani
za Olimpiki ziongezwe
kwa rekodi ya mafanikio
ya michezo ya Misri
.
Comments