Seif Isaa ni mchezaji wa timu ya kitaifa kwa Taikondo alishinda medali ya fedha katika mashindano ya uzito kilo 80 katika michuano ya tuzo kubwa iliyofanyawa mnamo kipindi kutoka 18 mpaka 20 mwezi wa Octoba katika Sofya nchni Blagharia mbele ya mchezaji wa Jordan Salah Elshrbaty .
Isaa alihakikisha njia
tofauti katika michuano kiasi kwamba alishinda katika nusu ya fainali dhidi ya
mchezaji wa Barazail Iykaro Megl Martenz .
Isaa alifikia nusu ya
fainali baadaya kushinda kwake katika nafasi ya 8 dhidi ya mchezaji wa Marekani
Tomas Rhemy kwa 3_24 bila ya usawa .
Isaa alikuwa
kufikia robo ya fainali baadaya ushindi
wake katika mechi nafasi ya 16 dhidi ya mchezaji wa Marekani Gesen Ieshedi
kwa 2_8 .
Misri ilifikia
mashindano ya michuano kwa wachezaji sita (wanawake 3 na wanaume 3) ni : Noor
Hussen (kilo 49) ,Radwa Reda (kilo 57) ,Hedaya Malak (kilo 67) ,Moaz Nabil
(kilo 58) ,Abd Elrhman Wael (kilo 68) na Seif Isaa (kilo 80).
Toka Mexico Oscar
Salazar " mkurgunzi wa ufundi" na Mohamed Magdy ni kocha waliongoza
timu ya kiufundi .
Mohamed Abd Elmonem ni
mjumbe wa baraza la idara ya timu ya Misri aliongoza ujumbe .
Michuano ya tuzo kubwa
inayofanyawa katika zito za olimpici nne kwa wanaume na wanawake ni : kilo 58
,kilo 68 ,kilo 80 ,kilo 80 kwa wanaume .
Na zito :kilo 49,kilo
57,kilo 67 na kilo 67 kwa wanawake .
Mchezaji 32 wa kwanza
wanakarbiti kushirki katika mchuano katika uanishaji wa olimpiki katika kila
uzito .
Comments