juzi mashindano ya michuano ya Misri ya kimataifa ya tano kwa mpira wa vinyoya yalihitimisha na yaliyofanyika mnamo kipindi cha 17 hadi 20 mwezi huu wa Oktoba kwenye sebule ya nne katika Mchanganyiko wa sebule zinazofunikwa katika uwanja wa Kairo
Na Aady Risky mchezaji wa timu ya kitaifa ya Adhribigan
alichukua nafasi ya kwanza katika mashindano ya kibinafsi kwa wanaume , Milan
lodik mchezaji wa timu ya kitaifa ya Jamhuri ya Czech alichukua nafasi ya pili
na katika mashindano ya kibinafsi kwa wanawake Zat Hatar mchezaji wa timu ya
kitaifa ya Minamar alichukua nafasi ya kwanza na Goldan Hart mchezaji wa timu
ya kitaifa ya Wilz alichukua nafasi ya pili na timu yetu ya kitaifa alichukua
nafasi ya tatu na medali ya shaba katika mashindano ya wachezaji wawili wa
wanaume kwa timu inayoundwa kutoka Adham
Hatem na Ahmed salah ambapo Algeria ilichukua nafasi ya kwanza na medali ya fedha
ilikuwa kwa bahati ya timu ya Poland
Na pia timu yetu ya
kitaifa ilichukua nafasi ya tatu na medali ya shaba katika mashindano ya
wachezaji wawili wa wanawake kwa timu inayoundwa kutoka Hadia Hosny na Doha
Hany ambapo wachezaji wanawake wa timu ya India walichukua nafasi ya kwanza na
ya pili
Na katika Ushindani wa
mara mbili , timu yetu ya kitaifa ilichukua nafasi ya tatu kwa timu inayoundwa
kutoka Adham Hatem na Doha Hany na pia
wachezaji wanawake na wanaume wa timu ya India walichukua nafasi ya kwanza na
ya pili
Na sherehe ya ushindi ilishuhudia mahudhurio ya bodi ya wakurugenzi
ya shirikisho la mpira wa vinyoya kwa uongozi wa Hesham Eltohamy , mhandisi
Sherif Elerian Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki , Ismail Elfar Mkuu wa Idara
kuu katika wizara ya vijana na michezo na mkuu Mohammed Nour mkurugenzi
mtendaji wa wizara Na naibu wa Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo
Na michuano
ilishuhudia ushiriki wa timu 34 za kitaifa nazo ni: Ureno , Azabajani, Austria,
India , Malta , Scotland , Ireland , Peru , Myanmar , Africa kusini ,Nigeria ,
Morocco , Morisi, Maldives , Poland , Jamhuri ya Czech ,
Indonesia , saudi Arabia , Algeria ,Thailand ,
Italia ,Sri Lanka ,Jamhuri ya Congo ya
kidemokrasia , Wales , Australia , Mexico , Mongolia, Ubelgiji, Yordani ,
Uingereza pamoja na Misri nchi inayoipanga michuano.
Comments