Kwa niaba ya waziri wa michezo , upokeaji rasmi kwa ujumbe wa Makasia uliopewa michuano ya kiafrika
- 2019-10-22 21:21:09
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo anamwakilisha Mohemed Kordy msaidizi wa waziri wa michezo na AbdelAwal Mohamed kwa ajili ya kuupokea ujumbe wa kimisri wa Kayaki unaoshiriki katika michuano ya kiafrika uliofanyika huko Tunisia mnamo kipindi cha 14 hadi 16 Oktoba , na kupitia michuano hiyo timu ya kimisri ilipewa ubingwa na mchezaji AbdelKhalek Elbanna alishinda medali ya dhahabu kwa mashindano ya mashua ya kibinafsi na kufikia olimpiki ya Tokyo 2020 , na hiyo ilikuwa kwa mahudhurio ya Amr Elnoury rais wa shirikisho la Kayaki la kimisri .
Na kupitia upokeaji
huo , msaidizi wa waziri wa vijana na michezo aliwasilisha pongezi ya Dokta
Ashraf Sobhy Kwa baraza la idara ya shirikisho la Upigaji wa Makasia la
kimisri, kwa wachezaji wote na wanachama
wa ujumbe wa kimisri .
Elkordy alisisitiza
kwamba wizara ya michezo haitazuia na haikuzuia
juhudi zake katika kutoa misaada yote kwa timu ya Makasia na kwa
mchezaji AbdelKhalek Elbanna ili kumstahilisha kwa kiwango cha juu zaidi kwa
ajili ya kupata medali ya olimpiki ya Tokyo 2020 .
Timu ya Misri ilikuwa
iko mbeleni mwa orodha ya Upanga wa michuano kwa idara za medali 18 kwa namna
mbalimbali miongoni mwao medali 8 za dhahabu ,
6 za fedha , na 4 za shaba , ikishinda nchi zinazoshiriki katika michuano
kama vile :" Tunisia , Algeria , Libya , Morocco , Uganda , Cote
devoir , Nigeria , Benin , Angola ,
Namibia na Zimbabwe "
Vilevile mchezaji
mmisri AbdelKhalek Elbanna aliweza kufikia olimpiki ya Tokyo 2020 kupitia
mashindano ya michuano.
Comments