Waziri wa michezo anakaribisha mabingwa wa Misri baada ya kuja kwao kutoka ushirikiano wa michuano ya dunia kwa ulemavu wa akili nchini Austrilia

 wakati wa  kujali  kwake kwa kutoa  aina zote  za  misaada  na  uungaji  mkono  kwa  mabingwa  wachezaji  wa Misri    waliofikia   mafanikio  na wanaoonesha   utendaji  wa  kiburi  katika  maeneo  ya  kimataifa  mabalimbali  ,

Dokta  Ashraf  Sobhy waziri  wa  vijana  na  michezo  asubuhi ya leo, Jumatatu kutoka  uwanja  wa  dunia  wa  Kairo aliwakaribisha  wachezaji  wa  Misri  wanaoshiriki  katika  michuano  ya  dunia  kwa wachezaji  wenye  ulemavu  wa  akili   inayofanyiwa  tangu  12 mpaka  19 mwezi  huu wa  Oktoba.

 

Waziri  wa  vijana  na  michezo alikuwa   mtu wa  kwanza  kwa  kuwakaribisha   wajumbe  wote wa  ujumbe kimisri  wakati wa kufika  kwao kwa  uwanja  wa Kairo wanaotoka  Australia  baada ya  mwisho wa mashindano  ya michuano ya  dunia  kwa  ulemavu wa akili  , na  kufikia  kwao  Kwa  idadi ya  medali 14 mbalimbali  zinazogawanyiwa medali 8 katika  michezo  ya  nguvu  kwa  mujibu  wa  medali  6 za  dhahabu   , medali ya  kifedha ,   medali ya  shaba  , medali   4 katika  michezo ya  mpira  wa meza   kwa  mujibu  wa  medali 2 za kifedha na  nyingine  ya  shaba  katika  mashindano  ya  kuogelea.

 

Waziri  wa  vijana  na  michezo alijali kuwapa  pongezi  kwa  wachezaji  wenye  uzoefu  na  uwezo  wa  pekee  wa  Misri   na  alisifu utendaji  wao mzuri   katika  mashindano  ya  michuano ya  dunia  nchini  Australia   na  uwezo  wao  wa  kuhakikisha  ushindi  na  nafasi  za  Awali  katika  mashindano yake  mbalimbali   . Akiashiria  kwa  uwezo  wa wana wa  Misri  kutoka  walio  wenye  uwezo na  uzoefu    wa  kupambana  na hamasa   na  kufikia  mafanikio kwa  nchi  yao   katika  nyanja  mbalimbali  .

 

Waziri   wa  michezo   alisema:-  "  Heshima  yote  kwa  mabingwa  wa  Misri    walioziinua   jina  na  bendera  la  Misri  juu   katika  michuano ya  dunia  kwa  ulemavu  wa  akili  nchini  Australia  na  kushinda  kwao  katika mashindano  ya  michuano  na  kutoa  utendaji  bora  zaidi   unawafanya  kuheshimiwa  kwa  medali 14  , akiashiria  kwa  ujali  wa  Misri  chini  ya  uongozi  Mheshemiwa : Rais Abd Elfatah  El sisi  rais  wa  Jamhuri  kwa  wana  wa  Misri   vijana  wenye  uwezo  na  hamasa  .

 

Dokta   Ashraf  Sobhy alisisitiza  kwa  msaada  wa  wizara  ya  vijana  na  michezo  kwa mashirikiano  ya  michezo  yote  kwa lengo  la  kutekeleza  mipango  yake  na  programu  zake   katika  kiwango  bora cha  kuwaandaa  mabingwa   wachezaji  wa  Misri   ,  na  miongoni  mwao  wachezaji  wa  Misri  wenye  uwezo  na  hamasa   wanaoshindana  daima  kwa  majina  tafauti  ya  michuano za  michezo ya   kimataifa   wanaozishirikia  .

Comments