Uwanja wa glasi katika eneo la piramidi uko tayari kwa kukaribisha michuano ya skwoshi ya dunia
- 2019-10-23 14:46:27
Eneo la piramidi limeingia maandalizi ya awamu ya mwisho ya kukaribisha michuano ya Skwashi ya dunia ya wanawake wa skwoshi na michuano ya platinamu ya wanaume ambayo itaanza siku ya 24, mwezi wa Oktoba mpaka siku ya kwanza ya mwezi wa Novemba ujao.
Misri inakaribisha
michuano ya dunia ya wanawake wa Skwashi, itakayofanyika katika eneo la
piramidi la Giza siku ya 24, mwezi wa Oktoba, na thamani ya tuzo za kifedha
inafikia dola elfu 430, pia pembezoni mwake inafanyika michuano ya wanaume
ambayo thamani ya tuzo zake za kifedha ni takriban dola elfu 185.
Amr Mansy, mkurugenzi
wa michuano ya skwoshi ya dunia alikuwepo ili kufuata matayarisho ya mwisho
kabla ya uzinduzi wa michuano hiyo, siku ya 24, mwezi wa Oktoba.
Michuano mbili hizo
zinajumuisha wachezaji wa skwoshi bora zaidi kutoka wanawake na wanaume,
wachezaji mashuhuri zaidi ni Ali Farag aliyeainishwa kama mchezaji wa kwanza
duniani kwa wanaume na Ranim Alwalily aliyeainishwa kama mchezaji wa kwanza kwa
wanawake na hao ni wachezaji wa klabu ya (wadi degla).
Pia Nour Alsherbeeny,
bingwa wa ulimwengu na aliyeainishwa kama mchezaji wa pili na pia Mohamed
Alshorbagy aliyeainishwa kama mchezaji wa pili wa wanaume wa skwoshi.
Michuano inashuhudia
uwepo wa kwanza wa bingwa wa Kimisri Nour Alsherbeeny aliyeainishwa kama
mchezaji wa pili duniani kwa wanawake wa skwoshi, na ambaye hakuwapo katika
michuano tatu za kwanza katika mwaka huu na michuano ya mwisho kutoka michuano
hizo ilikuwa michuano wazi ya Marekani kwa sababu ya majeruhi ya magoti yake,
kabla ya daktari alimtumaini juu ya uwezekano wa ushiriki katika michuano ya
dunia ambayo anashinda lakabu yake.
Comments