waziri wa vijana na michezo anapokea mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa chuo kikuu cha Ujerumani

 waziri wa vijana na michezo Ashraf Sobhy akimpokea mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa chuo kikuu cha Ujerumani Dokta Ashraf Mansour kwenye makao makuu ya wizara ya vijana na michezo . mkutano huo ulijadili utekelezaji wa miradi ya pamoja kati ya wizara hiyo na chuo kikuu cha Ujerumani ili kushirikiana katika utekelezaji wa kifurushi cha mipango wa mazoezi kwenye nyanja ya Michezo , teknolojia , Utamaduni , Sayansi , Viwanda , Michoro na Sanaa , Ubunifu na nyanja mengine mengi

 waziri wa vijana na michezo alifafanua kuwa mipango hiyo ambayo wizara hiyo itashirikiana kutekeleza na chuo kikuu cha ujerumani itachangia kwa kiasi kikubwa utekelezaji wa lengo kuu ambalo wizara hiyo inatafuta kufanikiwa kwa kueneza wazo mpya la vijana ambalo hutumikia nyanja zote za utamaduni , elimu na tekenolojia ya kuwa mfano wa vijana kama nguzo ya msingi ya utekelezaji wa maono ya misri 2030

waziri pia alikagua miradi ya wizara hiyo ni pamoja na vituo vya ubunifu , vituo vya ligi ya vijana na mikataba ya kielimu

 waziri wa vijana na michezo alisema kuwa kipindi kijacho kitashuhudia ziara katika chuo kikuu cha Ujerumani kuamua miradi ya pamoja itakayoteuliwa na kutekelezwa kwa kushirikiana na chuo kikuu

kwa upande wake. mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa chuo kikuu cha Ujerumani Dokta Ashraf Mansour alisema kwamba chuo kikuu kitatoa programu za mafunzo ili kuwastahili kuwa vikosi vyenye ufanisi na vyenye ushawishi katika jamii kuweza kusimbamba maendeleo yote kwenye uwanja na mipango inayotekelezwa

 mkutano huo ulihudhuriwa na meja Jenerali Mohamed Nour mkurugenzi mtendaji wa michezo , mkurugenzi mtendaji wa vijana bw. saidi ibrahim , mashauri wa kifedha katika wizara mshauri mohamed nasr , wakili wa wizara ya mipango ya utamaduni Najwa Salah na Meneja mkuu wa mahusiano ya umma na vyombo vya habari na vijana wa kigeni bwana Ashraf Saleh .

Comments