waziri wa vijana na michezo azindua mkutano wa saba wa shirikisho la kimataifa la wanasheria wa mpira wa miguu (ALAF)

 waziri wa vijana na michezo Dokta Ashraf Sobhy alifungua mkutano wa saba wa shirikisho la kimataifa la wanasheria wa mpira wa miguu ( ALAf) imeyokaribisha na bara la afrika kwa mara ya kwanza katika historia yake chini ya makusudi ya wizara ya vijana na michezo ya misri , hii itafanyika katika mji mkuu wa misri cairo mnamo 23/ 24 oktoba 

kwa upande wake waziri wa vijana na michezo alisema : mwaka ni mwaka wa afrika na kukaribisha congress kwa mara ya kwanza barani Afrika kuna dalili nyingi kuwa macho ya ulimwengu yanageukia bara la Afrika inayoshuhudia maendeleo kadhaa katika nyanja zote

 Sobhy aliendelea kwamba : moja ya Vipaumbele vya Misri wakati wa urais wake wa umoja wa afrika chini ya uongozi wa rais Abd El Fattah El Sisi kwa maendeleo ya mfumo wa michezo ya kiafrika na kupendezwa katika uwanja wa michezo kwa jumla kuna hitaji la dharura la mikutano kama hii ambayo inakusudia kujua na kutafakari ni nini mpya. tuna tayari sana kushirikiana katika shughuli hizo na kuchangia kwa kiasi kikubwa katika maendeleo ya viwanda

 Dokta Ashraf sobhy ameongeza kuwa mkutano huu utakuwa na athari nzuri kwa bara letu la afrika na itakuwa moja ya mafanikio ambayo yataongezewa bara la afrika katika m9ja wapo ya nyanja muhimu ambayo yanavutiwa sana na raia katika nchi tofauti za ulimwengu

kwa upande wa mwenyekiti wa shirikisho la kimataifa la wanasheria wa mpira wa miguu ( AIAF) Patricia Moersson alisema shirikisho ni jukwaa la kubadilishana maelezo na uzoefu kati ya wanasheria sradi kwenye uwanja huu , inakusudia kuimarisha na kudhibitisha shughuli za wanasheria wa mpira . shirikisho hilo linajumuisha wanasheria 100 stadi katika sheria za mpira wa miguu . iliyosambazwa kwa mabara matano na nchi 34 mikutano sita imeandaliwa tangu kuanzishwa kwa shirikisho hilo tulifanya kazi kwenye mada kuu za sheria za kimataifa za mpira wa miguu

Mourson aliongeza kuwa nafurahi kuandaa toleo la saba la Kongamano nchini Misri ni mkutano wetu wa kwanza kwenye bara la afrika tumechagua maswala mazito kwenye bara la afrika na nchi za kiarabu .marekebisho ya sheria za fifa na haki za utangazaji mada hizo mbili ni za muhimu sana sio tu kwa wataalamu wa ndani lakini pia kwa umma barani afrika na nchi za kiarabu

Msaidizi mkuu  wa makamu wa CAF antoni alisema : niashukuru jamhuri ya Misri kwa niaba ya CAF kwa mwenyeji wa tukio hilo kubwa anajivunia kuwa CAF mshirika katika mkutano huu inaleta pamoja akili kutoka ulimwenguni mwote kwenye bara la afrika kujadili mambo mengi muhimu

Mwenyekiti wa kituo kikanda cha Kairo cha usuluhisho wa biashara ya kimataifa ( crcica ) Dokta Ismail Saelim alisema : tunashukuru shirikisho la kimataifa la wanasheria wa mpira wa miguu ( AIAf) kwa nia yake ya kuchapisha utaalamu wake katika uwanja wa mkutano huo , tuko tayari kuchapisha wazo la muungano na kupendekeza kwambq mwenendo wa mkutano huo uchapishwe kupitia nakala fupi kutoka kwa wasemaji juu ya kile kitakachowasilishwa katika mkutano huu

Katika hotuba yake. mwanasheria wa michezo ya kimataifa wa rais Nasr Eldin Azzam alisema kuwa tukio hilo itafanyika chini ya uangalizi wa Dk ashraf sobhy waziri wa vijana na michezo kwa kushirikiana na CAf kituo cha mkoa wa cairo cha usuluhishi wa kimataifa Crcica ni tawi la korti ya kimataifa ya michezo nchini Misri na afrika kwa ushiriki wa fifa na Cies

Azzam alisema kuwa kufanya mkutano huu nchini Misri ni nafasi nzuri kwa wataalamu wote wa mpira wanaopenda sheria na kanuni za mpira wa miguu ikiwa wanachama wa vyama au vilabu au mawakili kujadili wataalam wanaoongoza ulimwenguni katika nidhamu hii , kupitia majadiliano ya wazi katika kiarabu kiingereza na kifaransa

Comments