Chini ya usimamizi wa wizara ya vijana na michezo ... Uzinduzi wa shughuli za tamasha la Misri la kimataifa kwa kuruka kwa miavuli kutoka piramidi za Giza
- 2019-10-24 12:42:48
shughuli za Tamasha la Misri la kimataifa kwa kuruka kwa miavuli zilizindua na zilizofanyika chini ya usimamizi wa Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo juu ya piramidi za Giza kwa kushiriki kwa warukaji 124 wanawakilisha madola 24 kupitia kipindi cha 21 hadi 26 mwezi huu wa Oktoba na hivyo kwa kushirikiana na shirikisho la Misri la kuruka kwa miavuli na michezo ya kianga
Mohamed Nour mkurugenzi mtendaji kwa wizara ya vijana na michezo na
Ahmed Abdelkhalek meneja mkuu wa utalii wa michezo walishuhudia Uzinduzi wa
Shughuli za Tamasha la Misri la kimataifa
kwa kuruka kwa miavuli kutoka piramidi za Giza na Mohamed Nour
alisisitiza kwamba upanga wa sikukuu unakuja miongoni mwa maoni yanayowekwa na
waziri ya vijana na michezo na ambayo wizara inayafuatilia katika usaidizi wa
utalii wa michezo na kupanga matukio mbalimbali
ya michezo yanaonyesha upande wa kitalii na ustaarabu kwa misri na hivyo
ni kwa lengo la Kuimarisha utalii na hivyo ni katika aina mbalimbali za michezo
ya spoti
Na kupitia tamasha wanaoshiriki walionyesha shangazi zao kwa upangaji wa
Tamasha na ustaarabu wa kimisri na wakiomba kwa umuhimu wa kukariri kwa tukio
hilo nchini Misri kwa mara kwa mara
Na ni muhimu kutaja kwamba shughuli hizi zimepangwa kupitia programu ya
wapangaji wa matukio ya michezo inayofuata wizara wa vijana na michezo ili
kusaidia hatua na vikundi vya michezo vinavyotekelza shughuli zingi za michezo
ambapo inasaidia kueneza kwa wazo la mazoezi ya michezo na kusisitiza juu ya
jukumu la jamii la michezo katika ongezeko zaidi kwa ramani ya kitalii na
michezo
Comments