Basmala Hassan anashinda medali ya kidhahabu kwa mashindano ya dunia kwa karate kwa vijana
- 2019-10-25 12:58:15
Basmala Hassan mchezaji wa timu ya kitaifa ya karate alishinda medali ya kidhahabu katika mashindano ya uzito wa 54 k.m (kadit mwaka 16) katika mashindano ya dunia kwa vijana ambao chini ya umri wa 21 yanayofanyika kupitia kipindi cha 23 hadi 27 mwezi wa Oktoba katika Santiago huko Chile
Na Basmala alichukua medali ya kidhahabu baada ya ushindi
wake katika mechi ya fainali
Kwa Adila Flasakofa mchezaji wa Silovikia kwa 2-0
Basmala alihakikisha mafanikio muhimu katika mashindano
ambapo alichukua nafasi ya kwanza ya kikundi cha kwanza baada ya ushindi wake
katika mechi zake zote kwa mashindano ya uholanzi , Australia , Indonesia na
Morocco
Na kwa hivyo Mizani ya medali ya Misri katika
mashindano ilifika medali 4 , medhali ya
kidhahabu , medali mbili ya kifedha na medali ya shaba ambapo basmala hussien
alishinda medali ya kidhahabu , Mohammed Hussien ( kata kadit ) na Fatma Soror
walishinda medali mbili ya kifedha na walid karim (kata kwa vijana ) alishinda
medali ya shaba
Na mashindano yanashuhudia ushiriki wa wachezaji 1557 kutoka
wanawake na wanaume wanawakilisha nchi96 , na misri inashiriki katika
mashindano kwa ujumbe unaoundwa kutoka wachezaji 37 kutoka wanawake na wanaume
pamoja na kifaa cha kiufundi na cha utawala na Mohammed Eldhahrawy mkuu wa
shirikisho la kimisri kwa karate ni mkuu
wa ujumbe
Comments