Fatma Abd El nasar anashinda medali ya fedha katika michuano ya ulimwengu kwa vijana wa mchezo wa karate

 Fatma Abd  Elnasar Soror ni mchezaji wa timu ya kitaifa kwa karate alitawazwa kwa medali ya fedha katika mashindano ya uzito kilo 47 (kadet mwaka 16) katika michuano Ya ulimwengu kwa vijana na chini ya mwaka 21 unafanyawa katika kipindi 23 mpaka siku 27 mwezi wa octoba katika sentegho nchini chili .

 

Fatma alishinda medali ya fedha baadaya hasra yake mechi ya fainali mbele ya mchezaji wa Uturki ni Msraf Aozdemer kwa 0_1 .

 

Fatma amehakikisha njia tofauti katika mchuano kiasi kwamba alichukua nafasi ya kwanza kwa kundi la pili baadaya ushindi wake katika mechi yake yote juu ya mabingawa wa Bilagria ,Slavdor ,Hungary ,Neozaland na Yordani .

 

Kwa hivyo hesabu ya Misri  inaongeza kutoka medali katika mchuano kwa medali tatu ,kwa kweli medali ya fedha na bronzi .kiasi kwamba walioshinda medali mbili za fedha ni kila Mohamed Hassan (kata kadet ) na Fatma Sroor ,Walid Karem alishinda medali ya shaba .

 

Michuano inashuhudia ushirki mchezaji 1557 wanashikilia nchi 96 .misri inashirki katika mashindano ya michuano katika ujumbe ni mchezaji 37 ,pamoja na kifaa cha ufundi na idara ,Mohamed Eldahrawy ni mwenyekiti wa shirkisho la Misri  kwa karate anaongoza ujumbe .

 

Comments