Misri inatunza kwa kiwango chake cha kimataifa na inachukua nafasi ya sita kwenye Afrika

Shirikisho la kimataifa kwa mpira wa miguu (FIFA)limeeleza kwa jamii ya mwezi kwa timu ya taifa ilishinda kwa nafasi ya kimataifa ya ulimwengu 49 na ilitunza kwa nafasi yake katika jamii ya mwezi ya septemba kama alishinda kwa kiwango ya sita kwa timu ya Afrika.

Kwa kiwango ya kimataifa timu ya nne Beljika na Ufaransa na Barazilia na Uingereza zilitunza kwa kiwango chake kuliko mwezi uliopita kwa utaratibu kutoka kwanza mpaka nne.

Na Oragwai ilishinda kwa nafasi ya tano na Ureno iliregea kwa nafasi ya sita kisha kuwepo timu ya Krwatia na Uhisbania na Arjantina na Colombia.

Senghal ilishinda kwa nafasi ya kiafrika na ilikuja kwenye nafasi ya ulimwengu ya 20;ikifuata timu ya Tunisia kwenye nafasi ya pili ya kiarabu na ya ulimwengu 29 kisha Naigeria kwenye nafasi ya tatu na ya ulimwengu 35 kisha timu ya Aljeria bingwa wa toleo la mwisho kutoka ubingwa wa kombe la taifa ya Afrika kwenye nafasi ya nne ya kiafrika kwenye kiwango cha 38ya ulimwengu na moroko ilikuja kwenye nafasi ya tano ya Afrika na ya ulimwengu 42.

Comments